>*<>*<> Happy Birthday Sweet Lady <>*<>*<

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,227
1,500
Hii hutokea mara moja kwa mwaka dear...

Hivi I am hoping kua as much as it is a Monday baada ya kazi utabwaga

kazi chini na kurusha mikono juu ukibanjuka tu.... I am happy kua hapa JF we are

relatives for you are One of my best Wifi's to my very polite brother...

Sweet Lady may this special day to you be as

Sweet as Your name and as Sweet

as your banter in the posts....


:poa ...HAPPY SWEET BIRTHDAY DEAR... :poaN:B Menu uloagiza ni kubwa mno... Hivo nakuacha kidogo hapa
nikaandae hio buffet.... Will see you badae dear...

 

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,227
1,500
Alafu Sweetlady mbona sijamuelewa kakangu?? Kwanini kabadilisha from Sangara to Vin Diesel??
 

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,385
1,250
Hii hutokea mara moja kwa mwaka dear...

Hivi I am hoping kua as much as it is a Monday baada ya kazi utabwaga

kazi chini na kurusha mikono juu ukibanjuka tu.... I am happy kua hapa JF we are

relatives for you are One of my best Wifi's to my very polite brother...

Sweet Lady may this special day to you be as

Sweet as Your name and as Sweet

as your banter in the posts....


:poa ...HAPPY SWEET BIRTHDAY DEAR... :poaN:B Menu uloagiza ni kubwa mno... Hivo nakuacha kidogo hapa
nikaandae hio buffet.... Will see you badae dear...

Happy Birthday Sweet Lady


ILA HAPO RED SIJAELEWA MY LOVELY SIS ASHA DIIIII
 

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,292
2,000
Sweet Lady,

May you be the sweetest on your birthday and many to come.

FaizaFoxy
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,727
2,000
Kwa niaba ya wapwa na mabinamu zangu, na
Kwa niaba ya mababu wenzangu wote, na
Kwa niaba ya wajukuu zangu wote, watukutu, mtiifu, spesho,mwema, wapya na wakongwe, na
Kwa niaba ya hommies zangu wote
Kwa niaba ya wanachama wote na uongozi wa ISC,na
Kwa niaba ya wanywaji na wachangiaji wakuu wa pato la Serikali ya JMT, na
Kwa niaba ya mashabiki, wanachama, wapenzi na wachezaji wa Simba SC na Liverpool FC, na
Kwaniaba ya MODS wenzangu wa majukwaa yote, na
Kwaniaba ya mashemeji zangu wote, wakiongozwa na my darling shemeji, na
Kwa niaba ya soulmate wangu...

Mimi ODM kwa mamlaka niliyopewa na kujipa mwenyewe...... Nakutaarifu kuwa watu wote hao hapo juu wanakutakia Heri ya Siku yako ya kuzaliwa.

Kumbuka: Kadiri mwaka unavyoongezeka ndivyo unavyopiga hatua moja kulisogelea kaburi. Mkumbuke Mungu wako na Mshukuru kwa mema yote aliyokutendea.......... Tazama, leo umetimiza miaka hii, wakati kuna uliowatangulia kuliona jua hivi sasa wamefunikwa na tani takribani saba ya dongo zito, katili na lisilo na huruma.

Nakuombea uishi miaka mingi zaidi, uzae watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula. Wale wasishibe ili upate maarifa ya kuhangaika kwa ajili yao zaidi na zaidi kama ambavyo wazazi wako walikuhangaikia.

Ukikutana na mama yako, naomba umpigie makofi matatu kwa niaba yangu.
Ubarikiwe sana.
 

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,429
2,000
Hivi mtu anawezaje kujua kuwa leo ni siku ya kuzaliwa ya mtu mwingine wakati humu tunaingia na fake IDs?
...Ni kwa sababu ya kujengeka kwa mahusiano mazuri between Members wa JF (Baadhi, ukipenda).
Kuna watu humu ni zaidi ya Marafiki, wanawasiliana nje ya humu Jamvini, wanatembeleana makwao, wanakutana sehemu za Burudani na kubadilishana mawazo, Wanashiriki misiba.
hayo hapo juu inapelekea pia kujua tarehe za kuzaliwa kati yao.
Tafakari, Chukua Hatua.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom