>*<>*<> Happy Birthday Sweet Lady <>*<>*<

Sweet Lady,

May you be the sweetest on your birthday and many to come.
1469119311_xcitefun-birthday-card.jpg

FaizaFoxy
Sante sana FF. Barikiwa sana.
 
Kwa niaba ya wapwa na mabinamu zangu, na
Kwa niaba ya mababu wenzangu wote, na
Kwa niaba ya wajukuu zangu wote, watukutu, mtiifu, spesho,mwema, wapya na wakongwe, na
Kwa niaba ya hommies zangu wote
Kwa niaba ya wanachama wote na uongozi wa ISC,na
Kwa niaba ya wanywaji na wachangiaji wakuu wa pato la Serikali ya JMT, na
Kwa niaba ya mashabiki, wanachama, wapenzi na wachezaji wa Simba SC na Liverpool FC, na
Kwaniaba ya MODS wenzangu wa majukwaa yote, na
Kwaniaba ya mashemeji zangu wote, wakiongozwa na my darling shemeji, na
Kwa niaba ya soulmate wangu...

Mimi ODM kwa mamlaka niliyopewa na kujipa mwenyewe...... Nakutaarifu kuwa watu wote hao hapo juu wanakutakia Heri ya Siku yako ya kuzaliwa.

Kumbuka: Kadiri mwaka unavyoongezeka ndivyo unavyopiga hatua moja kulisogelea kaburi. Mkumbuke Mungu wako na Mshukuru kwa mema yote aliyokutendea.......... Tazama, leo umetimiza miaka hii, wakati kuna uliowatangulia kuliona jua hivi sasa wamefunikwa na tani takribani saba ya dongo zito, katili na lisilo na huruma.

Nakuombea uishi miaka mingi zaidi, uzae watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula. Wale wasishibe ili upate maarifa ya kuhangaika kwa ajili yao zaidi na zaidi kama ambavyo wazazi wako walikuhangaikia.

Ukikutana na mama yako, naomba umpigie makofi matatu kwa niaba yangu.
Ubarikiwe sana.
Sante sana ODM... Hapa kuna maneno yamenifurahisha na mengine yameniliza kwakweli, bt usijal sana vile nshamaliza kufuta machozi sherehe iko pale, pale. Barikiwa sana babu yangu wa ukweli.
 
Sante sana RR. Bora wewe umeamua usimpigie mtoto kelele. Mwambie Kaizer na ODM waache kelele mtoto ataamka!..

SL,

Tukiacha kelele hata mawe yatapiga
kwa vile hii ni siku maalum kwako kelele tutapiga,
Na baadaye tutacheza Kwaiti "Hakunaaaga"
Kisha tunywe tule na Kuaga!

Happy birthday SL
 
SL,

Tukiacha kelele hata mawe yatapiga
kwa vile hii ni siku maalum kwako kelele tutapiga,
Na baadaye tutacheza Kwaiti "Hakunaaaga"
Kisha tunywe tule na Kuaga!

Happy birthday SL
Lol... Sante sana my lovly brother and shemeji Kaizer... Nawapenda sana wewe na swetie wako AD... Mungu awabariki sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom