Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Stage hiyo nina uhakika hawezi kuikosa kwan kanuni za BABU wanazijua,Kikubwa wasikose wakati wa kukaguliwa! Maana sasa mamboa yooote yaenda vizuri na maandalizi soon yatakua super! Saizi naanza ku relax sasa..... Dah!
Heshima yako Big Shem,Apo juu...baada ya stori za mapishi, Mbona sisikii special request za vinywaji? Of course Hus yeye kasema Dompo....wengine? LOL
It's worth it... You fight for it and you fight it for keeps Dear.....lol... Hio ni Lesson # 1 (if you are interested join Mwali for the classes)
Kwa mwanamke yeyote yule Mapishi ni muhimu.... It is kind of a weapon, hivo you want to be my niece you learn to be a Great woman! lol:eyebrows:
Jaman Goldemn Mpolee,aaaiii! ndo tumeanza kuchongeana hivo? mambo gan hayo?
Apo juu...baada ya stori za mapishi, Mbona sisikii special request za vinywaji? Of course Hus yeye kasema Dompo....wengine? LOL
Jaman Goldemn Mpolee,
Ukuje basi huku jikon,unisaidie kusanga nyanya,
Then hizo sambusa tutamalizia baada ya kuunga mchuzi.
Vumulia tu coz leo ni sherehe ya babu ODM,haya mambo ya famiiy kama yaelekea kunishinda mbon kama nabanwa san?
Heshima yako Big Shem,
Mie naomba mzigo wa kutosha wa kitu cha SAVANNA tafadhali.
ankal nataka valuer.
Mwanakwetu pitiliza tu huku kwa kichen,Daah......kumbe leo kuna party?? Aisee, hepi besdei babu ODM.....
mm kazi sipendi cio siri!
Apo juu...baada ya stori za mapishi, Mbona sisikii special request za vinywaji? Of course Hus yeye kasema Dompo....wengine? LOL
Stage hiyo nina uhakika hawezi kuikosa kwan kanuni za BABU wanazijua,
Bila ukaguzi wake unakosa hata Qualification za kuwa JF,
Na mbaya zaidi unakua usha jidisqualify kuwa mjuu wake hata ukipata mchumba babu hatatoa idhin ya kuolewa.
Fanya katon tatu Big shem.umepata, katoni mbili...
dah...valuer utakunywa na nini au kavu kavu?
Babu, hongera kwa siku yako ya kuzaliwa! Nakuombea afya njema na mafanikio tele kwa mwaka 2012. Mbarikiwe sana na familia.
AD:
Asante kwa kumwandalia babu sherehe nzuri namna hii...i hope sijachelewa sana. Ubarikiwe na siku njema my dear!
Asante Big sisy,Sasa hapa nikisema wewe ni mwerevu na mtulivu kuliko woote nakosea? lol... Hili suala hata Husny kagusia.....