<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

happy bday babu,sasa vile we ni mtoto mzee zawadi gani itakufaa?mi najito. Mwenyewe kama zawadi ntakuwepo kwa ajili ya kukukanda kanda mgongo,sidhani kama iyo kazi imepata wakuifanya,eti Ashadii?

Hio kazi tayari ina mtu.... Daughter utahitajika kwenye mapambo.... Akina King' na SL wameelemewa... Mpitie na FL1 Kajikausha kama vile aoni - Utegezi tu umemjaa! lol
 
Sweetie huyu Mpolee umempangia kazi gani....kama vipi anisaidie kusomba vinywaji....maana kina TF siwaoni. Mr rocky sijui kalala wapi jana:A S embarassed:

hahahahahaha.... You ain't touching hapo with my acknowledgment Love.... Mpole katangaza she ain't Mpolee no more... She is Golden; Get that? Labda uende na Mwali, Daughter, Obsesd, Feis buku, Smiles au Cantalisia....

Finest ile safari ya mazishi imemchosha alifanya kazi kubwa saaana. Rocky will be here soon! lol
 
AshaDii mwelekezee Kongosho aje achukue ufunguo wa store ya vinywaji si unakumbuka tulifunga kwa afya ya mgonjwa?

Pia usisahau kuwa Golden Mpolee ni kitukuu cha kwanza cha Babu, so upangie light duties kama kupuliza maputo, kupamba cards zitakazoletwa na wageni.

Na hao kina king'ast wakumbushe kumtafutia Bibi nguo ya kuvaa huko shopping kwao maana hakawii kutuvalia lile gauni lake la shamba.
 
Usipate tabu ntawasimamia
king'ast anawaza tu ataazima wapi kope, makalio na viatu

ngoja nichukue na bakora
lazima hii kazi ianze kwa wakati uliopangwa.

Mimi ndio maana napenda wewe.... So RELIABLE!! Hapa tayari nina Imani all will be well and Good sasa! lol
 
hahahahahaha.... You ain't touching hapo with my acknowledgment Love.... Mpole katangaza she ain't Mpolee no more... She is Golden; Get that? Labda uende na Mwali, Daughter, Obsesd, Feis buku, Smiles au Cantalisia....

Finest ile safari ya mazishi imemchosha alifanya kazi kubwa saaana. Rocky will be here soon! lol

LOL...Mpoleee simfahamu kiviele...ila niliona kuwa ni mweledi na mwepesi wa kazi...otherwise, ngoja nimtafute Mwali...na Feis buku....lol
 
AshaDii mwelekezee Kongosho aje achukue ufunguo wa store ya vinywaji si unakumbuka tulifunga kwa afya ya mgonjwa?

Pia usisahau kuwa Golden Mpolee ni kitukuu cha kwanza cha Babu, so upangie light duties kama kupuliza maputo, kupamba cards zitakazoletwa na wageni.

Na hao kina king'ast wakumbushe kumtafutia Bibi nguo ya kuvaa huko shopping kwao maana hakawii kutuvalia lile gauni lake la shamba.

Yaani hapa kila kitu DONE!!! Hizo duties nazifuatilia ipasavo..... Vipi babu hali yake imeanza kua nafuu?
 
Nimeipenda hii familia. Imempokea Golden mpolee kwa mikono miwili. sasa nani ni nani?

Orait....Sweetie AshaDii kama hujamfahamu, ndo mai waifu wangum ODM ni hommie wangu, na shemejiye AshaDii, King'asti na Sweetlady ni maumbu zake my wife wangu....Mwali na Husninyo ni Wapwa zangu, ila Mkaguzi mkuu wa wajukuu ni ODM ambaye leo amezaliwa na mi ndo mwenyekiti wake. Kuna MJ1, huyu ndo Kiranja wa wajukuu wote, kabla hawajapita kukaguliwa anawakagua yeye kwanza. Rejao ni mtoto wa 'nje' alikuwa amepotea sasa tumemrudisha (ila naona kama mnafahamiana kidogo). Tumewaaalika wageni na majirani wengi tu, ila kwenye kila kamati ndo kama ulivoona.

Una swali jengine Mpolee? Hebu niambie (pole pole) Mpolee ni nani.....lol
 
Sweetie that mission itaiba dakika 30 tu za siku ya ODM, Hizo dakika zatosha kuoga, kuku massage and you know what, ukitoka hapo utakua rejuvinated hun'.... Enything else?

Maana JG tayari yupo na Preta katika maandalizi ya Music, tushaambiwa sytle ya kuingia ni Kiduku! lol

Da Ashadii Mbona muoga hivo?
 
AshaDii mwelekezee Kongosho aje achukue ufunguo wa store ya vinywaji si unakumbuka tulifunga kwa afya ya mgonjwa?

Pia usisahau kuwa Golden Mpolee ni kitukuu cha kwanza cha Babu, so upangie light duties kama kupuliza maputo, kupamba cards zitakazoletwa na wageni.

Na hao kina king'ast wakumbushe kumtafutia Bibi nguo ya kuvaa huko shopping kwao maana hakawii kutuvalia lile gauni lake la shamba.

hii nimeipenda.
 
Orait....Sweetie AshaDii kama hujamfahamu, ndo mai waifu wangum ODM ni hommie wangu, na shemejiye AshaDii, King'asti na Sweetlady ni maumbu zake my wife wangu....Mwali na Husninyo ni Wapwa zangu, ila Mkaguzi mkuu wa wajukuu ni ODM ambaye leo amezaliwa na mi ndo mwenyekiti wake. Kuna MJ1, huyu ndo Kiranja wa wajukuu wote, kabla hawajapita kukaguliwa anawakagua yeye kwanza. Rejao ni mtoto wa 'nje' alikuwa amepotea sasa tumemrudisha (ila naona kama mnafahamiana kidogo). Tumewaaalika wageni na majirani wengi tu, ila kwenye kila kamati ndo kama ulivoona.

Una swali jengine Mpolee? Hebu niambie (pole pole) Mpolee ni nani.....lol

nimeelewa kila kitu! mbona wife wako mkali hamuaminian?
 
I hope Golden Mpolee ataelewa hapo saana kuliko maelezo yooooote hapo! lol
 
hapa naona wajukuu wameweka kambi!
Ngoja nitoe salamu zangu then misepe!
ODM, tukutane pale King Star au Zero pub nikupe maziwa yako!
Haeri ya kuzaliwa kiongozi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom