Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Mi nimesha amka hapa nafanya fanya usafi. Ongea kwa saui ya chini babu bado kalala
​what is busha?poa hataskia .ngoja kwanza nikuulize(kwa sauti ya chini) lile pale kwa babu ni busha au macho yangu, au mbwembwe zake tuu
poa hataskia .ngoja kwanza nikuulize(kwa sauti ya chini) lile pale kwa babu ni busha au macho yangu, au mbwembwe zake tuu
Nyie wanadamu mtashtalkiwa kwa makosa mawili...​what is busha?
Orayt...we nakukabizi mtakatifu Ivuga (sijui utamwadhibuje), Ila mie niache Mwali nimcharaze bakora matakoni. ATASHAA!Mwali na saint ivuga
hawana adabu
babu watie bakora hao
ingekuwa mie ungeshaniadhibu, sikubali.
Orayt...we nakukabizi mtakatifu Ivuga (sijui utamwadhibuje), Ila mie niache Mwali nimcharaze bakora matakoni. ATASHAA!
Hahahaha... hiyo bustani ni yake au yako?Ivuga nampa adhabu ya kupalilia bustani ya matango kila siku kwa mwezi mzima.
Hahahaha... hiyo bustani ni yake au yako?
zote anapalilia
bila kuonja hata tunda moja
natoa adhabu za kisaikolojia zaidi
hadi ashike adabu.
kha...nakusemea kwa babu. babu si unajua lazima tuwe tunamtania tania...ila adhabu uliyonipa ya kutokula lazima nikusemee kwanza babu. hii sio haki.
kha...nakusemea kwa babu. babu si unajua lazima tuwe tunamtania tania...ila adhabu uliyonipa ya kutokula lazima nikusemee kwanza babu. hii sio haki.
babu kishakubali
mwali atamshughulikia yeye mwenyewe
Hahahahah!Ewaa, tena wewe ntakuhitaji zaidi kwenye...:emptybath::lalala:
Leo hapokei tena simu, sijui kaipeleka kuchaji kwa Mangi pale dukani!..Cantalisia babu yako leo kaamukaje?
Heshima yako big sisy,Cantalisia babu yako leo kaamukaje?
Heshima yako big sisy,
Habari za babu anazijua Mwali,
Naamin yeye ndio alipata zali la kuangusha na babu usiku wa jana!!!
Afu lazima atakuwa ni my mke mwe King'asti manake mara ya mwisho nilimsikia ODM akimwambia amshikie ili akate keki... Wifi ujue mke mwenza alilewa sana siku ile?Sio hivo... nasikia kuna mtu siku ya sherehe alii angusha toilet akidhani anaweka kwenye mkoba! aibu tupu yaaani! lol
Big sisy,Mwali si alikua na case na babu.... loh! Babu anavopenda kushikiwa mkongojo kalegea mwenyewe... Mwite Mwali basi anihabarishe hali yake....
Afu lazima atakuwa ni my mke mwe King'asti manake mara ya mwisho nilimsikia ODM akimwambia amshikie ili akate keki... Wifi ujue mke mwenza alilewa sana siku ile?