Nasubiria mahari yako.... ukichelewa nambinafsisha kwa fellow tablet mpaka apate hii makitu...:mimba:Smile kakupa dhawadi gani? Babu, angalia nisikuaribie siku yako..
Hebu sogea karibu zaidi unishikie huu mkongojo wangu.... nataka nikupe...😛opcorn:Niko hapa next to you Babu... unataka nini?
Fellow tablet rule namba tatu hapo haihusiki. Hivi Keren Happuch umemwacha wapi? Aliniahidi angeniletea:hat: kutoka arachugalahaula! mambo hazarani. acha nikae seat ya mbele
Hahahahahah...As long as unaenjoy haina tabu! Usikitumie sana lakini, kitumie kwa kiasi, utubakishie na sisi!!Niko nje kwa zamana. Kuna mdada humu JF akikuweka kinyumba basi umekwisha. Nitapotea tena soon. Dah!
Ewaa, tena wewe ntakuhitaji zaidi kwenye...:emptybath::lalala:@Asprin😀ah!babu nipo jiran lkn naona mwali kawahi nafac,akimaliza tu itakua zamu yangu!
Dah! Ngoja niwahi..huyo kloro haaminiki kabisa! Anaweza akafanya kweli,Nasubiria mahari yako.... ukichelewa nambinafsisha kwa fellow tablet mpaka apate hii makitu...:mimba:
hehehe fellow tablet, Keren Happuch kapotea njia msuba umedakwa na figganigga, malizia na ugoro tu huku tamaa ni ndogo sanaFellow tablet rule namba tatu hapo haihusiki. Hivi Keren Happuch umemwacha wapi? Aliniahidi angeniletea:hat: kutoka arachuga
Mmmhhh? are you sure????Hebu sogea karibu zaidi unishikie huu mkongojo wangu.... nataka nikupe...😛opcorn:
Jaman ulikua wapi mpnz?mda wote hapa naangaza angaza hata ckuon,wala hakuna cha kuumwa jino wala nn,nipe dk sifuri nitakua hapo lol!
Hahahaah fellow tablet wangu ni :hatari: kama Lionnel Messi. One mistake kitu kinatinga nyavuniDah! Ngoja niwahi..huyo kloro haaminiki kabisa! Anaweza akafanya kweli,
Afu huyu mzee wa mia machale yananicheza. Tangu alipofumaniwa anapiga nyoka mafuta kwenye gari la faya hajaonekana tena hapa jamvinihehehe fellow tablet, Keren Happuch kapotea njia msuba umedakwa na figganigga, malizia na ugoro tu huku tamaa ni ndogo sana
:juggle::A S-coffee:😛hoto:Mmmhhh? are you sure????
:hand: ngoja kwanza...
Deskmate, I need your advice hapa.
Hiki kizunguzungu nashindwa kujua kama ndo nimevimbiwa pilau, nimelewa fanta au ndo marazi yanatafuta njia ya kutokea.
Hebu mjukuu aliyejirani a-come this way niangalie kama ntaweza ku do the needful...
Atakayenionea MwanajamiiOne naomba amwambie kuwa leo nina aleji na madripu.....
Baada ya kusema hayo napenda kuwashukuru kuja katika sherehe hii na kuanzia sasa naanza kupokea zawadi (ambaye hakuja na zawadi anaruhusiwa kutoa pledge)
Nje ya mada: Smile ahsante kwa dhawadi taaaaamu!
Afu wewe sikumbuki kama nlishakukagua, hebu come this way.......dah.....kumbe na kidali poo mnacheza?? Sikujua aisee...
Acha longolongo leta zawadi huku hai tebo.hivi Babu birthday leo inafanyikia chumbani?
Advice for what? hehehe ninavomjua fellow tablet hatanii, anamaanisha.Mmmhhh? are you sure????
:hand: ngoja kwanza...
Deskmate, I need your advice hapa.
Thats my boy.... haya jichagulie mjukuu umtakaye nikuzawadie...........................zawadi yako io babu
View attachment 45867
Jamani ndio protector huyu????? napiga sim kwa Anti sasa hivi. lolestAdvice for what? hehehe ninavomjua fellow tablet hatanii, anamaanisha.
We kaushike tu halaf kesho ukacheki klinik
Naona umeshawasili tayari! Mbaya zaidi umekuja mikono mitupu!!
hehehe mzee wa mia hela ya wese kaenda kuibiwa zenji na zinduna.Hahahaah fellow tablet wangu ni :hatari: kama Lionnel Messi. One mistake kitu kinatinga nyavuni
Afu huyu mzee wa mia machale yananicheza. Tangu alipofumaniwa anapiga nyoka mafuta kwenye gari la faya hajaonekana tena hapa jamvini
:juggle::A S-coffee:😛hoto:
Fellow tablet tabia ya kunyang'anyana wagonjwa imeanza lini? khaa!!Advice for what? hehehe ninavomjua fellow tablet hatanii, anamaanisha.
We kaushike tu halaf kesho ukacheki klinik
Sasa kama haujaestablish something utaepuka vipi hizo mambo? remember our last nite dialogue?Jamani ndio protector huyu????? napiga sim kwa Anti sasa hivi. lolest
Thats my boy.... haya jichagulie mjukuu umtakaye nikuzawadie....
rejao umemuona kloro? Haya mwambie ulichotoka kumwambia siku ile. Lol