<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Kisheria Mwali haruhusiwi kutoka wak Sababu yeyote ile

Sweetie hebu do ze niidful, mwali naona atashika mkongojo wa babu leo....lol



THANK God umekuja.... Yaaani nisingeshtuka mapema Ivuga angeshika chumvi ya Mwali alotomwa dukani.....lol.. Sweetie me doing that right away!
 
Mwali wangu unaniangusha.... Chumvi haitakiwi kamwe kukosa jikoni.... How can you miss salt jikoni? Vipi si nilikufundisha hilo somo la kutunza chumvi? lol:A S embarassed:
Anti kuna chumvi na Chumvi (big C). Mi nazungumzia chumvi... lolest
 
just imagine pampas na condom jamani loh?



Wazazi wengine!!! Sijui aliwaza nini... Unaweza kuta ndo wale watot wenye watoto.... ndo mambo kama haya...
 
THANK God umekuja.... Yaaani nisingeshtuka mapema Ivuga angeshika chumvi ya Mwali alotomwa dukani.....lol.. Sweetie me doing that right away!
Jamani Ivuga hajashika chumvi... bado mpya kwenye kikatarasi chake cha nyeupe na bluu, hii hapa. lol
 
Kweli, lakini dah kifo cha panga. Think! honey think

Jaman mie nadhan umwachie akukate panga moja tu akiona dam ataogopa,afu ww unakua umeumia tu na haufi then mie natoroka tunaondoka wote tena tunahama kbs!hiyo technic unaionaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…