loh huyu ana hata mwenzi jamani just imagine na mahari keshatoa hapa anajikusanya tunaenda shoping ya harusi dubai
mimi mchumba hata mwezi huwezi nikuta nae mbona?
Orati big sisy,hapa nishaandaa viwalo nataka unichagulie,kuna dira la kijaen na yepo yepo nyekundu na kipedo cha njando na top ya zambarau chin kuna viatu vya mwisho saa sita vyekundu!nichagulie nivae ipi hapo,ukizingatia nitakaa haitebo!
mmmh mwali usione kichaka shosti?wewe na ivuga toka lini? vile umeona nimemwambia tucheze blues?Anti naomba mimi na Ivuga twende kununua chumvi... chumvi imeisha humu ndani...:A S embarassed:
anazo yeye anadai ndoa hadi 2018 mimi hapo mwanangu si atakuwa la tatu?hahahaha..... Rejao habari hizi kapata lakini? maana babu kuna pesa alikula pale you know....
loh huyu ana hata mwenzi jamani just imagine na mahari keshatoa hapa anajikusanya tunaenda shoping ya harusi dubai
mimi mchumba hata mwezi huwezi nikuta nae mbona?
Hapana auntie naona mumeo ametaja wajukuu wote na kazi zao. Isipokuwa mimi na kwa kuwa sifiti kwenye ugeni rasmi au mwalikwa basi nitasubiri tu ya mwakani!MJ1 unatafuta case dear.... Toka lini ikawa sherehe yetu? na hali maamuzi kibao umeendesha wewe.... Dah!
Haya baaas hukuniambia kama nguo zile nimekuchagulia zimekutoa vipi, maana sikuoni tuko wengi hapa....lol
Hahahahaha, kumbe?mmmh mwali usione kichaka shosti?wewe na ivuga toka lini? vile umeona nimemwambia tucheze blues?
Ah, mi nimesema tu...:A S embarassed:aaisssee!! Mwali wangu....... Dah! Hivi umemuamini vipi Ivuga akae karibu na chumvi uloshika wewe?
Aibu yao aibu ya Mbu?Nimevaa skirt yangu ya Klimplini ya kijani na blouse ya mikono mirefu chilimeni nyekundu. Chini nina chachacha za njano.
acha tu shosti nilikuambia mwaka huu nisiposutwa sijui.Hatimae umetokea mpnz,vp ulignganisha au theory iko aplaid?karibu ww km ushajikoki vizuri ingia shuhulin!mchumba anaemuongelea babu ni Rejao huyo mkrya wako hamjui!
Unajua babu yako kasema atae vaa dira anaishia getini..... Hujamsoma hapo? lol
Dah!Klorokwin pitia home uje ujaribu za Sweetie.... BTW are you protecting my Mwali as promised? lol
Shemeji!? Ni aje? Mbu wangu kaingiaje hapa!? The most darling, MAN in this place? Plz .....leave my HEART alone shem!Aibu yao aibu ya Mbu?
audience wanajibu......" aibu ya Mbuuuu"
source: Mzee Yussuf
Hapana auntie naona mumeo ametaja wajukuu wote na kazi zao. Isipokuwa mimi na kwa kuwa sifiti kwenye ugeni rasmi au mwalikwa basi nitasubiri tu ya mwakani!
Au nikae getini niwe nafungulia wageni mlango?
Nimevaa skirt yangu ya Klimplini ya kijani na blouse ya mikono mirefu chilimeni nyekundu. Chini nina chachacha za njano.
Hahahahaha, Aibu ya mbuuuuuuAibu yao aibu ya Mbu?
audience wanajibu......" aibu ya Mbuuuu"
source: Mzee Yussuf
acha tu shosti nilikuambia mwaka huu nisiposutwa sijui.