Huyo mzee mwenzangu ntakuwa naye haitebo. Chondechonde watu wa getini hakikisheni haingii na ule msuli wake au ile kaunda suti yake ya rangi ya njano (jamaa linaipenda yanga kuliko mkewe) Ila ananichaanganya anapoivaa hiyo kaunda suti yake na raba za zambarau.... Akija kihivyo, sherehe itaahirishwa mpaka itakapotangazwa tena.
Mtambuzi nadhani atakuwa amekaa akiburudika na oldies huku anawasimulia Hus na Canta hadithi...mzee wetu huyu....atakuja na emergency kit yake kutibu watakaozima...of course at a fee
Nikimbilie kusema mbona Rejao peace saana.... Unajua kua ni kakangu yule? Siku ukija home lazima utamkuta....lol... Sasa itakuaje hap? Ujumbe kwa Sweetie umefika usitie shaka kabisa!
Hahahahaha! khaa!Sasa kiongozi mbona unanibomoa hadharani? Mbona mimi sisemi yale mambo yako ya Jolly club kwakuwa najua kila kitabu na zama zake!
Kuwang'ang'ania wajukuu wote utakuwa huwatende haki wao wenyewe na hivyo kuwanyima haki zao za kikatiba. We angalia angalia hata kama kuna nunda kuliko wote nisogezee, au unaogopa kumpoteza jumla? Si umeona ktk kale ka sredi wanasema kurya na sukuma ndo wenyewe!lol
Nilikuwa sifahamu kama rejao ni kaka'ako, ila tabia zenu wala hazifanani! Sijui kaharibiwa na mkewe? Atakuwa ameoa mzaramo eeh?lol
Sikumbuki kama nlishawahi kuwa na jukuu la kiume. Na tena likizaliwa nalikana mwanzo mwisho. Unajua ni bora upate kajukuu ka kike kakawa kamalaya (manake angalau utafaidi jasho la umalaya) kuliko kupata lijukuu la kiume afu likwa shoga LOLhommie hao wajukuu ni wajinsia gani?
Sikumbuki kama nlishawahi kuwa na jukuu la kiume. Na tena likizaliwa nalikana mwanzo mwisho. Unajua ni bora upate kajukuu ka kike kakawa kamalaya (manake angalau utafaidi jasho la umalaya) kuliko kupata lijukuu la kiume afu likwa shoga LOL
Shem nahitaji maelezo kwenye hizo bold....Ulikua hujui?? Baas ngoja nikueleweshe... Hapa jamvini nina kaka wengi saana.... Ila wale wa damu miongoni mwao ni Rejao, Paw na Cookie.... Unafikiri kwanini Paw na Rejao zilikua haziivi? (because wamefuatana :lol🙂 BTW, Paw ni mume wa King'asti, Cookie wa Sweetlady, na Rejao kachumbia Smiles..... Umenipata Maranya?
Neno la mwenyekliti ni sehemu ya KATIBA. Done!kwa hiyo hapo tuna uphold katiba yetu...hakuna kitakachoharibika.....
Shem nahitaji maelezo kwenye hizo bold....
Sijapokea mahari ya SL, hiyo ndoa wamefungia bomani?
Nimedhamiria kufuta mahusiano ya Rejao na SMILE... (hapo ulidhamiria kuandika smile au smiles manake hao ni watu wawili tofauti kabisa....mmoja mjukuu na mwingine "mpinzani" mkuu wa chama chetu na mmeo, sijui siku hizi kapotelea wapi asee) kama ni Smile, uhusiano unakaribia kusitishwa.... hili jamaa haliwezi kumchumbia mjukuu wangu kwa zaidi ya miaka mitatu bila hata kuleta robo ya mahari
Shem bana..... unafikiri napinga? Tatizo niko kimaslahi zaidi..... mahari in-terms of cash LOLShem waliweka siri siku zoote hazi.... Ukweli ni kwamba Cookie yupo na SL.... Alafu unajua Sweetie alini introduce kwa Smiles (Mpinzani na i really liked her, jina lake lanijia kila wakati); Hapo I meant Smile.... Mie nakushauri tu bora wawe na Rejao maana it is the only man amuweza Smile.... Ako so obedient kaka Rejao akiwepo....lol
Naona mida ishakaribia......... ngoja nikatinge raba mroni zangu.Kwa hiyo, mkao utakuwa kuwaje....
Hightable atakuwepo ODM mgeni rasmi, Mtambuzi, wajukuu wawili (Husna na Canta) Kisha mimi na sweetie
Kwenye floor...watakuwepo wageni na wajukuu wengine..(sweetie utanisaidia ile orodha ya tuliowaaalika) lakini Mwita, Rejao, RR nadhani hawakosi
dressing code....iwe casual nadhani
DJ=JGwalu akisaidiana na Preta and Co
Jikoni (huko wajua sweeties)
Vinywaji kamati yangu ikiongozwa na Fidel akisaidiana na TF watafanya mambo, tutawatupia wahudumu wa nje kama Eliza wa tegeta, wawasaidie
Kwa hiyo, mkao utakuwa kuwaje....
Hightable atakuwepo ODM mgeni rasmi, Mtambuzi, wajukuu wawili (Husna na Canta) Kisha mimi na sweetie
Kwenye floor...watakuwepo wageni na wajukuu wengine..(sweetie utanisaidia ile orodha ya tuliowaaalika) lakini Mwita, Rejao, RR nadhani hawakosi
dressing code....iwe casual nadhani
DJ=JGwalu akisaidiana na Preta and Co
Jikoni (huko wajua sweeties)
Vinywaji kamati yangu ikiongozwa na Fidel akisaidiana na TF watafanya mambo, tutawatupia wahudumu wa nje kama Eliza wa tegeta, wawasaidie
Music: Apollo, Preta Journe G.
Mapambo: King', Sweet L, First L, feis buk, Afro D
Upishi: Happuch, Mwali, Golden Mpoleee, Cantalisia, Lizzy
Watao serve: Kipipi, Obsesd, Belinda J, Cheusie, Queen Nkami, Smile
Wengine wamepumzishwa sababu maalum, kama vile Blacki Womani na wengine kibao! lol
Sweetie mimi naomba Rocky achukue nafasi ya Finest, PA awe tu usher na apige picha....
@Ashadii:Big sisy,naomba umpe mc majina ya waliofanikisha shuhuli hii especial kitengo cha maankuli na vinywaji,at least tuwe tunatajwa kila baada ya nusu saa,kuonesha kutambua kazi nzito tuliofanya!