Love...hivi Mwita si alikuwa anatafuta tafuta, ndo tumuunganishe na huyu Kipipi... au vipi
Usijali,
Pitia kwa friji piga glass ya wine ukate kiu,
Then pilizia huku tafadhali.
Big sisy,Sweetie hapa unatafuta ugomvi na Kbd.... lol... sijui awe nani, feis buk (yuko leave kukaguliwa), Smiles (Manyara hatamuweza), Golden Mpolee(mmmh! babu bado hajakagua), Obsesd (kagoma hataki usumbufu) labda ongea na Cantalisia tusikie asemaje....lol
Hata hiyo inafaa,Usijali mwanakwetu, hapa nina chupa ya sayona .....nikimaliza tu nakuja!!!
Si unajua sera za husni,
Umeona Ankali wako hapo keshamind eti nimeoa rushwa lol!
Hiyo kesi niachie tu naiweza.
Jamani my brand new niece.... naomba niruhusu... it is private..... Please!
Nimefurahi umeelewa Manyara.... Mtu kama wee hatakiwi akose pembeni kwa shemeji yangu..... Hio ya baadae nimeomba kwa mwanaume mwenzenu hapa kanigomea kata kata (ngoja nitumie nguvu ya ziada nikubaliwe); unipigie debe na ODM. sasa hapo bold inabidi nirekbishe... Care to say nn hasa ili nayo nijifunze?
Usijali mpoleee,mm hao ankal na anty utakua unaniwakilisha nana cwawez!
Big sisy,
Hiyo lekcha hapo kidogo umeniacha,
Naomba iiendelee baada ya ukaguzi wa BABU ODM kwanza,
Na pia naomba babu ashirikishwe kabla hamjaanza kunielewesha hiyo lekchalol!
Kwa hilo sawa big sisy,Kid sis... babu kweli yeye ndio mkaguzi.... Lakini Mwenyekiti anaepitisha miswaada yote ndio huyo your big shem...lol... Babu kushirikishwa kuko pale pale.....
Cantalisia hebu mpigie simu MJ1 mbona haji (mie leo namuogopa....lol)
Hakuna shaka ADI, nimekusoma.
ODM ni chalii yangu nitaongea nae ili atie uzito hatimaye uruhusiwe kutujoin, at the same time endelea kusema na shemeji yetu atakuelewa tu, mtu wako mwenyewe hawezi kukushinda.
Hapo nilipobold? Relax. Hapa JF sijaona bandiko lako kwenye jukwaa moja tu. Maeneo mengine niliyofanikiwa kupita hata bila kutia neno ninaona mkono wako! lol
Ni kweli Dear... Hamna kilicho haribika kazi zooote zimeisha kabisa! wee nenda tu kavae na hakikisha you look lovable....lol
Golden Mpoleee... THANK YOU For making me Laugh! lol.... Hivi you know you are very interesting?
Usijali Golden mpolee ndio maandalizi yenyewe hayo,Naona napokea tu lyke za babu mbona haji kunikagua?
Sweetie hapa unatafuta ugomvi na Kbd.... lol... sijui awe nani, feis buk (yuko leave kukaguliwa), Smiles (Manyara hatamuweza), Golden Mpolee(mmmh! babu bado hajakagua), Obsesd (kagoma hataki usumbufu) labda ongea na Cantalisia tusikie asemaje....lol
Sweetie hapa unatafuta ugomvi na Kbd.... lol... sijui awe nani, feis buk (yuko leave kukaguliwa), Smiles (Manyara hatamuweza), Golden Mpolee(mmmh! babu bado hajakagua), Obsesd (kagoma hataki usumbufu) labda ongea na Cantalisia tusikie asemaje....lol
K
Kwa hilo sawa big sisy,
Namwachia mwenyekiti my Big shem,
Hilo la kumpigia simu MJ1,hata mie naogopa,
Ukizingatia na hilo bandiko la Babu ODM hapo mlangon mmmhh!
Naomba tuvute subira si unajua hizi sikukuu zimeumana,
Hope humo ndani na maadhimisho ya mwaka mpya yataungaishwa lol!