Happy birthday Nicas Mtei!

Happy birthday Nicas Mtei!

Happy Birthday Nicas Mtei
Ukaishi maisha marefu yenye furaha na amani
Mungu akujalie kila la kheri katika maisha yako
Mema ya nchi ukayapate na amani ya rohoni pia
Happy birthday again my bro
 
Last edited by a moderator:
Heri ya siku ya kuzaliwa kijana @Ncas Mtei.

Naomba mwongozo kabla sijalog off
 
Well, mi ntapiga gines tatu kwa afya yako.

Lokesheni: Boko Basihaya, Fyatanga Bar.
mkuu Asprini unaka mitaa gani basihaya mitaa yangu sana huko! naogeleaga sana mahaba beach ununio
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom