Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
ladyfurahia mambo! Nimefurahi sana!
Last edited by a moderator:
HBD pachaa
hongera mkuu kwa kusherehekea kuzaliwa ! ulabu wapi?
Nicas Mtei heri ya kupunguza siku za kuishi suka wa kundi la msuto, countdown inazidi kusogea tu heheheheheeeeeeeeeeeeeee
Mwambie kigamboni wanatengeneza rubisi aniambie au aje na kilele!!Usiniambie una alosto ya RUBISI Bishanga! Mama Koku aliniambia anakutumia NSENENE, kama tayari wagaie kina Ruttashobolwa, nitonye na KakaKiiza.