Happy birthday Nicas Mtei!

Happy birthday Nicas Mtei!

belated-birthday15.gif
 
yaani nimekumiss ningekuwa na mabawa ningepaa nije huko kukuletea pampers zako bhaana ili mama akuvishe usije leta..................................... pembeni bure

kula hii keki ndo nimeweza kuisafirisha katika ndege ya fastjet wameipokea angalia kama imefika kwaniwale wahudumu ni wadhaifu wa kula
 

Attachments

  • KEKI EATING.jpg
    KEKI EATING.jpg
    7.3 KB · Views: 14
Mbona mna maneno sana nyie hamjui kuwa leo ni siku ya furaha na sio kuleta maneno ya chokochoko jamani punguzeni
 
acha nimalizie na hii waweza kumlisha keki hii NITONYE+, ARUSHAONE, RUTTASHOBOLWA, BAKULUTU NA SWEETLADY, ila sanasana NI CHARMINGLADY yeye ni muhimu sana waambie wapanue midomo yao kwa pamoja uwalishe via hewani
 
jamani haya furahia zaidi ya furaha NICAS MTEI kwa rangi uipendayo je umeshapamba hapo katika hall tuje kujumuika sasa kwani ndo jioni hii na mm ni mshehereshaji acha niwahi
 
acha nikuonyeshe huku kijitonyama tulivyo fanya decoration we angalia hapa nicas mtei
 

Attachments

  • baloon decoration 1.jpg
    baloon decoration 1.jpg
    49.1 KB · Views: 28

Similar Discussions

Back
Top Bottom