Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
yan mpk kuchweeeee!!!!! Wimbo mwingine huooooooo......
![]()
hahahahaha. Thank u CL
yan mpk kuchweeeee!!!!! Wimbo mwingine huooooooo......
![]()
Kumbe na wewe umeona eeh????
Hb NM, God bless ya.
"asili" ?????
Naendelea vizuri dia! Mie nshachoka kuimba bana, nipe fanta nilainishe koo tafadhali.
Hahahaha dompo sitaki lol. We tunaimba na charminglady toka asubuhi mtoto umelala tena huku umenuna! Sahivi jiimbie mwenyeweMara hii umechoka. Chukua dompo unywe.
umepona dear? utakuja tanga? nina zawadi yakoNaendelea vizuri dia! Mie nshachoka kuimba bana, nipe fanta nilainishe koo tafadhali.
Tobaaaaaaaaa! YatakushindaNicas Mtei njoo tulale baby wangu wa leo
Nafuu ni kubwa mpenzi. Ntakuja vile nawe utakuwepo, hyo zawadi ihifadhi tafadhali.umepona dear? utakuja tanga? nina zawadi yako
Mhmhmh daddy!!!!
Mie ntakuja na Filipo manake ndie hana mwenzie! marejesho atakaa na mtoto Nicas Mtei meza kuu!thank u sana. Njoo na sweetlady pamoja na Lily Flower
nipo na nicas hapa naona tu mnavompm tena mshindweTobaaaaaaaaa! Yatakushinda
Nicas Mtei njoo tulale baby wangu wa leo
Hahahaha dompo sitaki lol. We tunaimba na charminglady toka asubuhi mtoto umelala tena huku umenuna! Sahivi jiimbie mwenyewe
hahaha halafu kashindwa kuelewa what so called "zawadi ya ushindi" is....