Happy birthday Nicas Mtei!

Ahsanteni sana ndugu zangu wa JF kwa wishez zenu katika siku yangu ya kuzaliwa... ki ukweli nimefarijika sana kuona kuwa wapo marafiki ambao kwa namna moja ama nyingine wanakuwa wapo pamoja nami.... nawashukuru sana sana sana......Nakushukuru sana kwa namna ya kipekee charminglady kwa kuweka post. Mungu akubariki.. pia namshukuru Elizabeth Dominic kwa surprise yake siku ya jana, ilikuwa poa sana.God bless u.... Pia naushukuru uongozi wa JF na Moderator wote. ahsanteni sana.... pia bila kuwasahau wale wote walionopigia simu na kunitumia meseji za kunipongeza na kunitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa..... Mungu awabariki sana....
 
Last edited by a moderator:

amen.jpg
 
Last edited by a moderator:
nilivyokuja pale nikaangalia sikukuta hii kitu pokea kama zawadi yangu special kwa ajili yako
wataka nayo niitume kwa njia ya ndege ya fastjet? Au kwa njia ya ungo? Chagua nipitie mlango upi hapo kati ya hizo nilizotaja?
nicas mtei

na hii mpatie sweetlady mungu amponye aweze kulala hapa
Jamani ladyfurahia! Very thanks dearest! Sikuiona mapema hii mpendwa!

Nashukuru kwasasa naendelea vizuri zaidi. Bado kidogo namaliza dozi mwaya! Again thanks a lot. Mwaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
acha nimalizie na hii waweza kumlisha keki hii NITONYE+, ARUSHAONE, RUTTASHOBOLWA, BAKULUTU NA SWEETLADY, ila sanasana NI CHARMINGLADY yeye ni muhimu sana waambie wapanue midomo yao kwa pamoja uwalishe via hewani
Mwaaaah! Ahsante ladyfurahia, nilikula keki mpendwa, was so sweet darling!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom