Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Last edited by a moderator:
Happy birthday Nicas Mtei
kila la heri katika kuanza mwaka mpya katika maisha yako (ama niseme happy new year yako) heheheheeeee
Khaaa! Ndio nini kumjaza mtoto maneno hivi?
Happy birthday Nicas Mtei! Mungu akupe maisha marefu yenye furaha, amani na upendo daima!
Happy Birthday mpz Nicas Mtei !!!Tukikutana Tanga unikumbushe nikupe zawadi ya Birthday!!!!
Mh... Nicas Mtei mbona huna furaha ktk siku yako ya kuzaliwa???? Unatoa asante kama umelazimishwa khaaaaa......
Hahahaha! Labda hajanywa uji sis charminglady!
TehTeh teeeee..... Huyo yawezekana katoswa na watoto wa Kagame :lol: !!!!!!!
Si kawaida kabisa, watu huwa na furaha kwenye siku zao za kuzaliwa lakini yeye wala....
Atajiju! Acha sie tuendelee kumwimbia bila kuchoka
Zawadi ya Ushindi...
watu8 huu utakuwa ushindi wa mezani!!!!!!!
keki ya asili hyo. Google hawaijui
Napenda sana watu wasemao ukweli! Wewe ni mmoja wao charminglady!
Umefikisha miaka mingapi?