Happy Birthday Mshana Jr ๐ŸŽ‚โœจ

Hongera kwa siku yako hii muhimu sana.


Je kama ambavyo siku hii inamaana na nguvu ya kipee sana upande wa nuruni..

Kipindi uko kule gizani ulikuwa unaitumiaje.?
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ kuku wa wateja walipata tabu sana
 
Happy belated day bro...Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na baraka tele.
Uendelee kuwa na moyo wako wa upendo hivyo hivyo
 
Leo nimekuwa na siku nzuri sana.. Siku ya kwanza ya wiki na siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu.. Kiroho ina maana kubwa sana

Asanteni sana wote kwa kunipa furaha (chukuchuku๐Ÿ˜‚) let love lead๐Ÿ˜
Nimeamua kuwarudishia zawadi ya hizi mada mbili lama ukumbusho wa hii siku muhimu sana kwangu



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ