Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
By "Ukoo wa watu8" unamaanisha ukoo wa mabazazi au? #justASKING
mhhhhhh haps ladyfurahia ndo atakupa jibu muafaka
Last edited by a moderator:
By "Ukoo wa watu8" unamaanisha ukoo wa mabazazi au? #justASKING
Happy birthday kaka Mentor .. by the way ladyfurahia ni hodari wa kutambua birthday za watu ee??
hahahahahaha kesi gani tena hiyo
Bado nai file
we ulikuwepo?
isipokuwa yangu...lol...
Asante shostito weee...ila nina mawazo.....
binamu nilimwomba baba Ngina atoe ile keki siku ile kwa niaba yangu
kwani mwenzio uchungu ulikuwa unauma wewe katoto kamepitiliza mwezi huoni ajabu?
ohooooooooooo taratibu eiyer