Hivi ana hapi besdei mbili? Mbona tushakula cake yake escape????
Eiyer . Evelyn Salt nu miss neddy na paroko wangu Kaizer mshaona wapi mtu anazaliwa siku hiyo hiyo anaanza kuchimba mkwara watu wazima?..hatutishiwi nyau Mentor lol
Hata ya kuja weka juu yangu
Na hata kupumzika utapumzika kwangu pia ......lol!!!!!!!!!!
badiebey mimi sijawahi kuwa bazazi. au unani-confuse na nani?? Vin Diesel?
Thanks anyway...umri wangu ni piemu nitakuambia...
Bazazi Nicas Mtei, nashukuru kwa wishes. Leo nala 'keki' ingine!
mwallu unajua adhabu za hii kitu mnafanya hapa kwa wall yangu zitakuangukia wewe peke yako. Endeleeni
Cc: miss neddy, Eiyer, Kaizer Evelyn Salt (ni PM lokesheni mpya nikufuate tuongee jambo) na wote mnaoongea kizungu kwenye hii sredi...
...aahahahah..haya mie nduguyo sasa
hee! jamani kwani kuna ubaya wowote kumjibia Mentor ?
au unawaza nini hapa? mhm! :biggrin1::biggrin1:
uwiiiii nilisahau
Happ bday .......Mentor
Halafu nimekumiss mnoooooo, ...u knw u knw u know...do ze nidfull pls
nshakupm.....Evelyn Salt (ni PM lokesheni mpya nikufuate tuongee jambo)
poa mwallu tena we utakuwa my sis wa kindakindaki kabisaaaaaaaaa