Happy Birthday Lecture Mentor

Happy Birthday Lecture Mentor

watu bhana wanapenda kuwaza kinyumekinyume
eti bandugu mmenionea wapi sweety Bujibuji
kwani mara ya mwisho kumtia machoni mwangu
ni Nov 28 mpaka sasa sija:sick:
 
Last edited by a moderator:
my cousin ilikuwa SURPRISE!!! kwani wewe hujawahi kufanyiwa hivyo?
ukumbuki daddy watu8 alivyokutoa out huku ukiwa na kinepi cha pinki?
Sitaki tena nasema sikubali kabisa... Naenda kufungua mashtaka kwa my lawyer Ruttashobolwa, yaan siku ya party tumesherehekea birthday ya Mentor kiuongo uongo.... Walaah naandamana kuwasue Mtambuzi na Mentor kwa kutudanganya!!!!
 
Last edited by a moderator:
oky kama ujawaza kitu ila elewa kuwa huyo ni mtoto wangu nimetoa leo pale KCMC moshi majira ya adhuhuri
na nikaona niwahabarishe marafiki zangu waliopo dimbani hapa wanipe hongera na mwanangu pia?
sijawaza kitu mamiiiiii
 
binamu nilimwomba baba Ngina atoe ile keki siku ile kwa niaba yangu
kwani mwenzio uchungu ulikuwa unauma wewe katoto kamepitiliza mwezi huoni ajabu?
Sitaki tena nasema sikubali kabisa... Naenda kufungua mashtaka kwa my lawyer Ruttashobolwa, yaan siku ya party tumesherehekea birthday ya Mentor kiuongo uongo.... Walaah naandamana kuwasue Mtambuzi na Mentor kwa kutudanganya!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor
flat,550x550,075,f.jpg
 
Last edited by a moderator:
oky kama ujawaza kitu ila elewa kuwa huyo ni mtoto wangu nimetoa leo pale KCMC moshi majira ya adhuhuri
na nikaona niwahabarishe marafiki zangu waliopo dimbani hapa wanipe hongera na mwanangu pia?

anhaaaaaa thanks kwa taaarifa mamito tazizo hukunipa taarifa kuwa mentor ni ukooo wa watu8
 
hivi nyie akina Paw, @Moderate, Invisible na tchao mna nini na mm
kwanini nyuzi zangu mnazihamishia huku wakati ni ruksa kwa member mjengoni
hapa kuweka uzi popote anapopenda kama anafuata masharti yenu?
kwanini nyie mmekuwa kiherehere kwa kunimuvuzishia thredi zangu kiasi hichi
nasema SIJAFURAHSHIWA KABISA na mtindo wenu rudishe kulekule mmu hii kt
 
Last edited by a moderator:
badiebey mimi sijawahi kuwa bazazi. au unani-confuse na nani?? Vin Diesel? Thanks anyway...umri wangu ni piemu nitakuambia... Bazazi Nicas Mtei, nashukuru kwa wishes. Leo nala 'keki' ingine! mwallu unajua adhabu za hii kitu mnafanya hapa kwa wall yangu zitakuangukia wewe peke yako. Endeleeni Cc: miss neddy, Eiyer, Kaizer Evelyn Salt (ni PM lokesheni mpya nikufuate tuongee jambo) na wote mnaoongea kizungu kwenye hii sredi...

Mimi hata sitaki kuja huko pm yaani lazima niandamane na mabango hadi kwa KWA NAIBU ITIFAKI sijui yuko wapi leo sijamuona humu since morning

haiwezekani nimemwaga mapwoint
lakini mentor hajani quote si bure lazima
kuna namna hapa
hapa lazima nikupeleke kwa naibu itifaki na akikupendelea nakata rufaaa hadi kwa mkuu wa itifaki MTAMBUZI
 
Last edited by a moderator:
hivi nyie akina Paw, @Moderate, Invisible na tchao mna nini na mm
kwanini nyuzi zangu mnazihamishia huku wakati ni ruksa kwa member mjengoni
hapa kuweka uzi popote anapopenda kama anafuata masharti yenu?
kwanini nyie mmekuwa kiherehere kwa kunimuvuzishia thredi zangu kiasi hichi
nasema SIJAFURAHSHIWA KABISA na mtindo wenu rudishe kulekule mmu hii kt

Hahahahahahahaaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom