Happy Birthday Lecture Mentor

Happy Birthday Lecture Mentor

Asante ladyfurahia my dia...hizo sifa sasa! :dance::dance::dance:

Anyway, Namshukuru sana Mungu kwa siku ya leo...na nichukue fursa hii kuwatakia heri ya siku ya kuzaliwa pacha wangu wote: Preta, manyaga Sr., Evelyn, Leah, na Naomi (huyu tulizaliwa hospitali moja, siku moja, mwaka mmoja...mama tofauti)

God bless you all!!!
mwallu kipenzi, nangojea wish yangu by the way...sijasahau!!!

mkuu na ile ya kwenye party ilikuwa siyo siku yako ya kuzaliwa?
 
BirthdayWishes.gif

Happy birthday Mentor
 
Last edited by a moderator:
IT’S NOT EASY


Si rahisi kujifunza kitu ambacho hujakipitia toka darasani
Wala si jambo rahisi ukawa Daktari wa binadamu au mifugo
Bila hata kujifunza huo utabibu wa wanadamu na viumbe. Je
unaweza kuwa mwanahisabati bila hata kujua mbinu zake?
hata kukokotoa kahesabu haka kanakushinda kwani hujajifunza



Log28 – log8
log2



Hata wanasayansi nao walijifunza wakaweza kuunda kitu
sijui mwanasaikolojia Mtambuzi kama ataweza hako kahesabu
au mwanasheria mkuu Ruttashobolwa na Asprini nao wataweza
bila hata kwenda kwa lecture wao mtaalamu wa PM Moderate


Si rahisi kufanya kitu ambacho hujawahi jifunza bali unaweza
fanya pale ulipojifunza na ukawa na utaalamu nacho mpaka
ukaitwa mwanataalum fulani, mdadisi au MTAFITI.

Je ni rahisi kuumba kitu kwa mtazamo wako na kikawepo? Je ni
Rahisi kuvumbua kitu bila kuwa na hekima toka kwa Mungu au
Kipaji toka kwa Mungu? Je ni rahisi kujiumba upya?


Sitopenda kuwa mwingi wa habari bali TUFURAHIE siku hii muhimu
sana kwetu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwalimu wa waalimu,
injinia wa Injinia, na MSTAHIKI MEYA wa jiji la
mmu na vilevile
ni LECTURE wa
sinagogi la mmu Ndg Mentor
hii mivyeo alipewa na Mkaguzi dr. Asprin wakati anaomba ya UMEYA


Basi marafiki zangu wapenzi wote wa mentor shusheni nyavu zenu hapa
chini kama petro alivyoshusha nyavu zake toka Kilindini. Tumtakie afya
njema, na miaka mingi ya kuishi kipenzi chetu Lecture Mentor

Bestito Mentor pokea kazawadi haka kazuri kwa afya yako ya kiroho
soma I Peter 5:6-11 kakupe mwangaza wa maisha bora na yenye ushindi

Wenu

Ladyf



maelezo meeeeengi.mwee!.dada yangu ilitosha tu kusema happy birthday Mentor .
 
Last edited by a moderator:
maelezo meeeeengi.mwee!.dada yangu ilitosha tu kusema happy birthday Mentor .

Na wewe umeharibu sana ku quote maelezo yooote halafu unaandika mstari mmoja tu .......aaaaaahhhhhggggrrrrr!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom