Happy birthday Jakaya Mrisho Kikwete

Safi sana Mshana,

umetukumbusha na kutuonesha namna gani CCM chini ya Mzee wetu JK ilivyokuwa ikitekeleza mambo makubwa kabisa ya kimaendeleo nchini

CCM ndio baba lao, bado tuna imani kubwa sana na CCM
 
Dr ulimboka, daudi mwangosi, dr Mvungi, Mabomu ya olasiti arusha, juma Akukweti, just to mention a few hayo yote yalikua initiated na watu wasiojulikana hapo number 20

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Wa Ufipa wamesahau hilo, nakumbuka sana Dr. Mvungi alivyofanyiwa, inaniuma hadi leo, eti JK yeye alikuwa malaika. Ni kweli mzee wetu alifanya mengi mazuri, tena kwa namna ya kipekee lazima tumshuku.

Lakini ukweli usemwe, wengi hata hatujui tunaposimamia, hivi kumbe maendeleo ya vitu ni muhimu tofauti na tunavyoaminishwa? Manake yaliyoandikwa na mleta mada who's ufipa kindakindaki yote ni maendeleo ya vitu.
 
Sifa huja mwishoni sio mwanzoni
Sisi tunaangalia mazuri ya mtu akiwa hai, akiwa madarakani, that's how we should roll. Lakini mkuu tulitaka dikteta, refer speeches za Mnyika na Dr. Mihogo.
 
Kwenye hicho kipengele Cha kutukana huenda hata muweka mada alifanya hivyo pia!
We subiri hata huyu papa mobimba akiondoka utawaona wanaorodhesha mambo! Ishakuwa kawaida.
Wakiorodhesha kama kuna ambayo itakuwa active kumsaidia mwananchi moja kwa moja haitazidi 10 ila hiyo ya Mr White yote bado ina function tena kwa kiwango cha juu sana tena sana!

Just imagine, uwanja wa kimataifa wa ndege Chato & uwanja mkubwa wa mpira Chato Mbuga ya wanyama Chato hivi unadhani ni mtalii gani atatoka ulaya aje bongo akaangalie Simba na Twiga sijui na vitu gani Chato kisha aunganishe safari kwenda kutalii mlima Kilimanjaro kwanini asiende moja kwa moja Ngorongoro akawaona hao wanyama kisha akarudi kupanda mlima?hizo gharama atakuwa analipiwa na serikali kufanya yote hayo au?labda kama watamteka au huko nilikopataja itatangazwa ni jinai kwenda kutalii.

Hata kama ni ile slogan ya “nyumbani kwanza” hapa mtu mzima alichemka,umesema kutukana? Hapo Merican Trump anahutubia huku kuna watu wanamuonyesha kidole cha kati na matusi juu ila haangaiki kusema neno coz inajulikana duniani hajatokea mtu 100% akapendwa na watu wote!
 
Hata funding ya TAZARA Flyover na Ubungo Interchange, katafuta Mzee wa Msoga!!

Wafuasi wa Magu hawataki kabisa kulisikia hili la TAZARA Flyover na Ubungo Interchange kwa sababu wanadanganyana Magu ndo kajenga flyovers wakat yeye ni NYAPARA tu!!

Ongeza na uboreshaji wa barabara za Jiji la Dar es salaam under Dar es salaam Urban Transport Improvement Project!
Mkuu nakubaliana na wewe,huyu Wa sasa hana connection yoyote.
 
Safi sana Mshana,

umetukumbusha na kutuonesha namna gani CCM chini ya Mzee wetu JK ilivyokuwa ikitekeleza mambo makubwa kabisa ya kimaendeleo nchini

CCM ndio baba lao, bado tuna imani kubwa sana na CCM
Okay
 
Eli79: Safi sana kwa kuwa open, tulishasema sana enzi za JK yani watu wasijitoe ufahamu hapa ila yote 9, huyu kweli anazingua licha ya mazuri yake ila wasiojulikana na shaba wanazo kula watu hivi hii ndo Tz kweli ya wakati ule unajua mafisadi wamekuja na wapo tu kweli tulipigika na watu waligawana pesa hayo tuliyaona na huyu mjamaa a kasema atawashugulikia na alipoingia alisema hivo je kuna yoyote alitangazwa kushugulikiwa? Haya sio kana kwamba enzi ya Kikwete au mkapa watu hawakufa au kuuliwa but this time hii ni advanced maana tukio la tundu Lissu hata shetani alishtuka. Sidhani kama kuna Mtanzania mwenye akili timamu hakutaamaki na mpaka kesho kimya, watu wasiojulikana je hawa wakinanani na hawa ni kama mizimu (ghosts) wanapga tukio wanapotea kimya sawa shirika la ndege ATCL na usafiri wa reli vilikufa ndio na vilikufa chini ya nani wote tunajua ni CCM! Rais anamatatizo yake sio perfect hakuna mtu perfect na mtu umezaliwa umekuta babu zako toka uhuru mpaka sasa walikuwa chini ya CCM sasa mtu mzima wa karne hi na bichwa lake na masikio kama propeller anasema CCM come on get your shit together and make a valuable contribution to your life and MAKE A CHANGE 28 hata akibaki yeye tu pale juu poa. Tuache facts kuwa facts kama serikali ya CCM ilikuwa inaweza kufanya haya yote kwann hawakufanya na kuanza sasa mda wote mna pga pesa za Watz sasa mpaka mjamaa kufanya hii inamaanisha CCM your are doomed for good haijalishi ni mwaka gani but the clock is ticking.
Hakika JK alifanya, tena mambo tangible sana. Sema nini, alitukanwa mno, tena sana. Kumbe haijalishi watu umewafanyia nini, mwisho hawaridhiki tu kama asili ya binadamu ilivyo.

Alifanya yote hayo then wafipa wa ufipani wakaishia kusema wanataka dikteta, woooooi! You got what you wanted and now, everyone is crying, wanasema "be careful what you wish for". So, ngoja tuburuzwe coz it was our wish.
 
Im sorry jk

Sent from my SM-J106F using JamiiForums mobile app
Kuufungia huu wimbo ni jambo la ajabu kuwahi kutokea....Nikki anasema Polisi walimuuliza " Kwanini unamsifia Rais aliyepita wakati kuna Rais mwingine? Nikki akawajibu "Ukimaliza Kazi ndo unavalishwa taji...mnajuaje kama huyu akimaliza sitamsifia?" Nchi ngumu sana hii unapangiwa mpaka wa kumsifia.
 
Back
Top Bottom