Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Karibu.
Mbona unaitika kwa hasira?
Karibu.
jamani jamani khaa!
In aza weds umeukubali uke wenza?Kuharibu nini Saint Ivuga? mbona mambo yako wazi?
Mi sina compe na CUTE kabisa, I like her so much!
Na ninavo muona hata yeye hana shida kabisa na mimi.
Aspirin bana,hivi hujui CUTE na mwali walipinga nani atawahi kumkabizi mzee keki ya besdei.Mtakatifu Saint Ivuga nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Ndo umefikisha miaka kumi na ngapi vile?........ Ukifikisha 20 tafazali niambie.
Afu we Mwali hii makitu umeirusha saa sita kamili usiku. Muda huu wanafunzi mnatakiwa muwe mmeshalala. Hukulala kwa mawazo ya mtakatifu au ulikuwa prep?
Mapenzi ya namna hii nayapendaga sana. Sijui kwanini mie sipendwagi?
Hivi leo ni jumangapi vile? ngoja nikazimue.
haahaaha hawa mabinti wameninyweshaje vinywaji jana usiku..Happy Birthday Saint Ivuga.
Tunakutana wapi jioni? Ushongo au?
happy b-day mume, Saint Ivuga haya mke mwenza peleka keki me na na mashampeni ya kufa mtu CUTE
ha aaa...ac ha kumpiga pini mrembo wangu leo sikukuu ya mmeweKweli jamani , khaa!
Hukubali wala hukatai jamani ! Khaa ! Jamani , imekua hivi jamani? Khaa!
Happy Birthday Jembe langu... Naona umri unakimbia tu arifu
Happy Bday Mt. Ivuga, may live maisha marefu ya kitakatifu!
Saint Ivuga happy birthday bro
Uishi maisha marefu ya furaha na amani.
Wiiiiiiiiiiivu!!!!!!!!!
SI hepi besdei mkuu!
Na wewe ivuga ukipendwa pendeka bana!
asante sana babu...babu wewe sio kwamba hawakupendi.. itakuwa ni ukaguzi wako unatakaga kukagua kila sikuMtakatifu Saint Ivuga nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Ndo umefikisha miaka kumi na ngapi vile?........ Ukifikisha 20 tafazali niambie.
Afu we Mwali hii makitu umeirusha saa sita kamili usiku. Muda huu wanafunzi mnatakiwa muwe mmeshalala. Hukulala kwa mawazo ya mtakatifu au ulikuwa prep?
Mapenzi ya namna hii nayapendaga sana. Sijui kwanini mie sipendwagi?
Hivi leo ni jumangapi vile? ngoja nikazimue.