Happy Birthday Husninyo!

Happy Birthday Husninyo!

Halafu hao walioondoka na kreti za bia wamebeba kreti 3 kila mtu sasa sijui kama Jumatatu watafanya kazi, uporoto sijui kapata wapi nguvu za kubeba sufuria lenye nyama halafu la moto hawa watu hawafai wamechukuchua karibia kila kitu wameacha juice za Sayona tu, sweetlady kabeba hadi na visu na uma vya kukatia keki na mishumaa sijui sababu ya mgao wa umeme ameona ni advantage kubeba mishumaa
Hahahahaha!... Umechafua CV?... Khaaa! Nimecheka sana! TF hufai walah...
 
Hivi nani anaweza kunambia nimejikutaje 7000 Brookside Parkway??? Nakumbuka nilikua party, then nikaenda club... alafu blackout! nimejikuta ndani ya nyumba ya NN, with marafiki zangu wawili, wamelala kwenye makochi, mmoja kajichafua nwele na matapishi......
Mi mwenyewe nililala ndani ya chumba (cha nani, sijui) ila naona niko salama, hakuna kitu kiliendelea.
Issue ni namna ya kutoka saa hizi, huku nimevaa nguo ya party ya jana. mnaikumbuka?

20110811150826701_2_8472.jpg 20110811150827863_2_2071.jpg
 
Hivi nani anaweza kunambia nimejikutaje 7000 Brookside Parkway??? Nakumbuka nilikua party, then nikaenda club... alafu blackout! nimejikuta ndani ya nyumba ya NN, with marafiki zangu wawili, wamelala kwenye makochi, mmoja kajichafua nwele na matapishi......
Mi mwenyewe nililala ndani ya chumba (cha nani, sijui) ila naona niko salama, hakuna kitu kiliendelea.
Issue ni namna ya kutoka saa hizi, huku nimevaa nguo ya party ya jana. mnaikumbuka?

View attachment 39221 View attachment 39222

halafu jana ulitoka bomba, nina wasiwasi hamisi kishindindo a.k.a nyani ngabu alikuteka.
 
In this special date, some years back, uliletwa hapa duniani

Na sote tunafurahia uwepo wako hapa duniani na zaidi Jamvini

Hivyo tuna sababu, nia ya dhati na tashwishi ya kuwa nawe leo

Siku hii maalumu kusheherekea siku yako ya kuzaliwa!

Happy Birthday Husninyo,,,,,,tunakutakia mafanikio na maisha mema leo na siku zijazo

View attachment 39153View attachment 39154

(sweetie kama kawaida, yupo busy na mambo ya jikoni atakuja hapa ukumbini muda sio mrefu. Babu ODM, King'asti, Sweetlady, NN, Kloro,Uporoto, Apollo, na The Boss ndo kamati mpango mzima. TF ni mlinzi leo

Happy Birthday my Daughter, ni jambo lakujivunia kuwa sasa Mie Mtambuzi nimekuza..................... Hongera sana mwanangu
 
Happy Birthday my Daughter, ni jambo lakujivunia kuwa sasa Mie Mtambuzi nimekuza..................... Hongera sana mwanangu

thank you dady, najivunia kuwa na mbaba mtambuzi. Anti na anko walirekebisha kila kitu. Lol.
 
halafu jana ulitoka bomba, nina wasiwasi hamisi kishindindo a.k.a nyani ngabu alikuteka.
Nakumbukaaaaaa, Jamani pombe mbaya. yaani nililala kwa Nyani Ngabu jana? haya bwana. Ngoja sasa nimpigie sim aje atufungulie maana alifunga nyumba na kuondoka, akiogopa hawa marafiki zangu watamuiba flatscreen yake...
 
hahahahaha, kawafungia nyumba karudi msituni.
Hapa nanyanyua vyuma, akirudi lazima ale ngumi za kutosha.
 
aiseee, nimepigiwa simu kuna intake ya pili ilikuja kuniwish happy birthday. thank youuu sana. hamiss kishindindo popote ulipo nakutafuta. the boss uliulizia my age, mmmmmmmmh, mtoto aliyezaliwa jana hadi leo atakuwa na umri gani?( natumai hukukimbia hesabu za chekechea)

MwaJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJ..............aseee leo umenitendea haki kwa ku du ze nidful na kunigongea laiki kibwena. Siamini macho yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom