CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Network lazima ipotee maana mi najua nikizidisha hapa bhaaaas mtanikuta mirembe! Preta namiogopa sana ummu kulthum nitafanya naye biashara ya alizeti tu na charminglady yeye ntamfata rock city kumsalimia
Umemaliza mahubiri bila kuwataja sweetlady, Preta, charminglady, ummu kulthum na princess enny? Nimeamini ng'ombe hazeeki maini ila anapoteza netiweki akizeeka.
Kaizer sijui kama nitaiwahi hiyo sherehe maana kila barabara ninayokatiza imefunga kwa foleni! Duh! Sijui ni park pembeni nichukue boda boda?Mwaaah shemeji cacico! Happy birthday mpz khaaa leo tunaburidikaje ?
Msiri wangu mwaJ come this way leo nimetoka barracks kuja kuserebuka kwen huu mnuso, sweetlo gfsonwin na mwalimu wangu snowhite na Madame B njooni tafadhali maana Asprin leo kakabidhiwa rungu! Hahahahaha kazi ipo leo
Mpenzi Yummy baby BADILI TABIA what do u have in store for us?
Elizabeth Dominic na Kaunga njooni maungamoni kabla ya sherehe!