.......Happy Birthday cacico......!

We nawe mbona sikuelewi, jana usiku uliniomba sana nisije nimevaa hivi....leo sijui umeamka na tamaa gani unataka tena haya makitu waiiii mi staki bana!
Hii staki staki hii ndio mwalimu wangu snowhite yuko nayo busy anamshauri mtu aliyeombwa na mkewe amtafutie mwanaume wa kumliwaza. Where is Kaizer when I need him the most kwa mwongozo?

Ndio mambo kama haya.......

217985_232334276892616_1969038856_n.jpg



Afu mlishamaliza na KARIA?
 
Hii staki staki hii ndio mwalimu wangu snowhite yuko nayo busy anamshauri mtu aliyeombwa na mkewe amtafutie mwanaume wa kumliwaza. Where is Kaizer when I need him the most kwa mwongozo?

Ndio mambo kama haya.......

217985_232334276892616_1969038856_n.jpg



Afu mlishamaliza na KARIA?

Hahaaaaaa hiyo iko mwake! By the way KARIA ana kichefuchefu cha ghafla amesema hatoweza kuhudhuria
 
Last edited by a moderator:
Happy b'day cacico, ila kama muaandaa sherehe ni asprin polee wee!
Kaunga tutake radhi aiseee hivi unajua unamuongelea mume wa watu hapa....lol! Mnuso utakua wa nguvu we kama hutaweza kuhudhuria tutakuhusisha kwenye picha za mnato(hili neno nalo mmmhhh....) teh teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Kaunga tutake radhi aiseee hivi unajua unamuongelea mume wa watu hapa....lol! Mnuso utakua wa nguvu we kama hutaweza kuhudhuria tutakuhusisha kwenye picha za mnato(hili neno nalo mmmhhh....) teh teh teh teh
Hahahaha..... ana uzoefu wa kupiga picha? Asije akakosa matukio muhimu.

weird_asia_03.jpg
 
Yes it is your birthday.....

Sala zetu zimesikilizwa. Hatimaye siku imewadia. Tunamshukuru Mungu. Tunakuombea maisha marefu, upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana.

Wakati tukikuombea maisha marefu, tunakukaribisha kwenye tafrija ndogo ya kukupongeza. Mwongozo utakuwa hivi:

Ni bia na bia na bia.

396794_350770531664947_1618453031_n.jpg


Halafu bia tena

576079_345864675488866_1800492344_n.jpg



Halafu pombe kwa wingi

293704_340934919315175_21963257_n.jpg


Kisha maakuli

168427_128491503886769_4929745_n.jpg


Halafu na maakuli yetu muhimu

402627_10150547924320579_177232385578_10952829_824636530_n.jpg


Then kuserebuka

563542_10151838479455702_407861605_n.jpg



Kisha...mmmmmwaah!

38778_128932910482617_6757659_n.jpg


Ulinzi utakuwepo wa uhakika

559251_442021062485577_605244960_n.jpg


Ila polisi hawaruhusiwi

249189_459566554070957_853337544_n.jpg



HAPPY BIRTHDAY cacico

Popote mlipo Yummy, BADILI TABIA na Kongosho ........... Please come this way!!

HBD 2 U, HBD 2 U, HBD dear my grandmather HBD 2 U!
 
Mwaaah shemeji cacico! Happy birthday mpz khaaa leo tunaburidikaje ?

Msiri wangu mwaJ come this way leo nimetoka barracks kuja kuserebuka kwen huu mnuso, sweetlo gfsonwin na mwalimu wangu snowhite na Madame B njooni tafadhali maana Asprin leo kakabidhiwa rungu! Hahahahaha kazi ipo leo

Mpenzi Yummy baby BADILI TABIA what do u have in store for us?

Elizabeth Dominic na Kaunga njooni maungamoni kabla ya sherehe!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom