zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Habari ya uzima wako my wife Arabela,nichukue fursa hii kukupongeza kwa kuiona tena siku ya leo,tarehe ya leo na mwezi wa leo ndio siku pekee ambayo MAMA yako kipenzi alikuleta duniani.
Alikaa nawe kwa miezi tisa kwa uvumilivu mkubwa na kukujali mpaka ulipokuja duniani tarehe kama ya leo.
Mimi nakutakia maisha marefu sana na ALLAH azidi kukujaza neema zake uendelee kuwa hai na mwenye afya njema uishi zaidi na zaidi.
happpppppy birthday ,.......to ......my Arabela......
.............hii ndio zawadi yangu ya siku ya leo uamkapo tu utaikuta mezani ikikusubiri
happy birthday to yu............happy birthday to yu..........happy birthday to yu......happy birthday to yu.....
happy birthday to yu.......happy birthday to yu......happy birthday to yu.......happy birthday to yu
......happy birthday to yu
happy birthday to yu.....happy birthday to yu.....happy birthday to yu


