.......Happy Birthday cacico......!

mambo yangu poa tu na mzima tu mamito cacico,
h'b'day,
yani huyo wajina wake ndo anataka amzimishe kbs?
Yani leo huko lazima watu warudishwe majumbani mwao na mikokoteni.
Jinsi 'watakavyoangusha magari'
ndio nimetoka salon, nataka nivae nizianze mapemaaaaaaaaaa!
 
Mamito Yummy upo?
Mke mwenzio ndo leo Mnuso,
Ole B'day yako ifike afu usitualike,
Tutaku-Ulimboka

Aaaah kumbe kuni-Ulimboka tu hiyo sijali sana ingekua kuni-Mwangosi hapo ingekua utata!
Mimi yangu wewe ndo utakua Mwenyekiti, Katibu Muhtasi, Muweka Hazina, Sekretari yaani yoooote yako na kazi kwako.........sasa ole wako uingie mitini ndo utanfahamu
 
Mbona Mkwara shoga?
Nitaingia nazo mitini kweli,we n'chezee!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom