.......Happy Birthday cacico......!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,358
Yes it is your birthday.....

Sala zetu zimesikilizwa. Hatimaye siku imewadia. Tunamshukuru Mungu. Tunakuombea maisha marefu, upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana.

Wakati tukikuombea maisha marefu, tunakukaribisha kwenye tafrija ndogo ya kukupongeza. Mwongozo utakuwa hivi:

Ni bia na bia na bia.

396794_350770531664947_1618453031_n.jpg

Halafu bia tena

576079_345864675488866_1800492344_n.jpg

Halafu pombe kwa wingi

293704_340934919315175_21963257_n.jpg

Kisha maakuli

168427_128491503886769_4929745_n.jpg

Halafu na maakuli yetu muhimu

402627_10150547924320579_177232385578_10952829_824636530_n.jpg

Then kuserebuka

563542_10151838479455702_407861605_n.jpg

Kisha...mmmmmwaah!

38778_128932910482617_6757659_n.jpg

Ulinzi utakuwepo wa uhakika

559251_442021062485577_605244960_n.jpg

Ila polisi hawaruhusiwi

249189_459566554070957_853337544_n.jpg

HAPPY BIRTHDAY cacico

Popote mlipo Yummy, BADILI TABIA na Kongosho ........... Please come this way!!
 
Last edited by a moderator:
I'm here my hubby, the one and only......sorry, nimechelewa kidogo nilikua nambadilisha cacico diapers, sasa yuko gado.
 
Last edited by a moderator:
Yes it is your birthday.....

Sala zetu zimesikilizwa. Hatimaye siku imewadia. Tunamshukuru Mungu. Tunakuombea maisha marefu, upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana.

Wakati tukikuombea maisha marefu, tunakukaribisha kwenye tafrija ndogo ya kukupongeza. Mwongozo utakuwa hivi:

Ni bia na bia na bia.

396794_350770531664947_1618453031_n.jpg

Halafu bia tena

576079_345864675488866_1800492344_n.jpg

Halafu pombe kwa wingi

293704_340934919315175_21963257_n.jpg

Kisha maakuli

168427_128491503886769_4929745_n.jpg

Halafu na maakuli yetu muhimu

402627_10150547924320579_177232385578_10952829_824636530_n.jpg

Then kuserebuka

563542_10151838479455702_407861605_n.jpg

Kisha...mmmmmwaah!

38778_128932910482617_6757659_n.jpg

Ulinzi utakuwepo wa uhakika

559251_442021062485577_605244960_n.jpg

Ila polisi hawaruhusiwi

249189_459566554070957_853337544_n.jpg

HAPPY BIRTHDAY cacico

Popote mlipo Yummy, BADILI TABIA na Kongosho ........... Please come this way!!

Happy bday mke mwenzangu, Mungu akujalie miaka teleeee.....na kama alivyosema mume wetu hapo juu upatemo watoto wengiii(itabidi wengine uchakachue mwaya,mume nguvu kwishnei) uwiiii na vijukuu na vitukuu telee!lol
 
Nashukuru Mungu leo sijavaa mawani yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom