Umemaliza mahubiri bila kuwataja sweetlady, Preta, charminglady, ummu kulthum na princess enny? Nimeamini ng'ombe hazeeki maini ila anapoteza netiweki akizeeka.Mwaaah shemeji cacico! Happy birthday mpz khaaa leo tunaburidikaje ?
Msiri wangu mwaJ come this way leo nimetoka barracks kuja kuserebuka kwen huu mnuso, sweetlo gfsonwin na mwalimu wangu snowhite na Madame B njooni tafadhali maana Asprin leo kakabidhiwa rungu! Hahahahaha kazi ipo leo
Mpenzi Yummy baby BADILI TABIA what do u have in store for us?
Elizabeth Dominic na Kaunga njooni maungamoni kabla ya sherehe!
Network lazima ipotee maana mi najua nikizidisha hapa bhaaaas mtanikuta mirembe! Preta namiogopa sana ummu kulthum nitafanya naye biashara ya alizeti tu na charminglady yeye ntamfata rock city kumsalimiaUmemaliza mahubiri bila kuwataja sweetlady, Preta, charminglady, ummu kulthum na princess enny? Nimeamini ng'ombe hazeeki maini ila anapoteza netiweki akizeeka.
Mwaaah shemeji cacico! Happy birthday mpz khaaa leo tunaburidikaje ?
Msiri wangu mwaJ come this way leo nimetoka barracks kuja kuserebuka kwen huu mnuso, sweetlo gfsonwin na mwalimu wangu snowhite na Madame B njooni tafadhali maana Asprin leo kakabidhiwa rungu! Hahahahaha kazi ipo leo
Mpenzi Yummy baby BADILI TABIA what do u have in store for us?
Elizabeth Dominic na Kaunga njooni maungamoni kabla ya sherehe!
Hivi Rock City si ndo apo Judgement na Mr Rocky? Siamini kama charminglady atakuwa kakwepa haya makucha....Network lazima ipotee maana mi najua nikizidisha hapa bhaaaas mtanikuta mirembe! Preta namiogopa sana ummu kulthum nitafanya naye biashara ya alizeti tu na charminglady yeye ntamfata rock city kumsalimia
Nakuja Mwnfnz wangu Kaizer,
Asprin asituletee kauzibe kunako mnuso.
Yani ni full kunywa Nyagi na Libeneke.
Msiri wangu St. Paka Mweusi uko wapi?
Come huku shereheni!!
Achana na kitanda!
Hivi msiri anakuwa anawajibika na nini?
Nami nataka niteue msiri kama cheo kinalipa.
Nakuja Mwnfnz wangu Kaizer,
Asprin asituletee kauzibe kunako mnuso.
Yani ni full kunywa Nyagi na Libeneke.
Msiri wangu St. Paka Mweusi uko wapi?
Come huku shereheni!!
Achana na kitanda!
Mwaaah shemeji cacico! Happy birthday mpz khaaa leo tunaburidikaje ?
Msiri wangu mwaJ come this way leo nimetoka barracks kuja kuserebuka kwen huu mnuso, sweetlo gfsonwin na mwalimu wangu snowhite na Madame B njooni tafadhali maana Asprin leo kakabidhiwa rungu! Hahahahaha kazi ipo leo
Mpenzi Yummy baby BADILI TABIA what do u have in store for us?
Elizabeth Dominic na Kaunga njooni maungamoni kabla ya sherehe!
We njoo huku Port View tutaongozana pamoja eneo la tukio.
Hommie Kaizer nakuona hapo chini. Hebu tamka neno lolote la shukrani.
There are currently 8 users browsing this thread. (5 members and 3 guests)
uwwiiiiiiiiiii! am speechless! rahaje thatha knowing u have friends thinking of u all the tyme?!!! Just one word! MUNGU AWAZIDISHIE, AWABARIKI WALE WOTE MLIONIWISH LUCK NA JF NZIMA IN GENERAL, i have a family at home, but u guys are my realy friends! thanx again!