ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
shosti hongera af umefikisha mvua ngapi mpaka sasa?
Mie ndio napendea hapo, sina haja ya kukueleza, just like that you know it... Will appreciate so so dear, kazi ya kulea kumbe sio ndogo aisee... Niece wako Mwali kakuulizia na nimemwambia uko mpakani Malawi.. lol
Shlamoo Uncle. I hope unaendelea vizuri.hahahaha tell Mwali I will be back my dear....hebu nasikia siku hzi kuna kakijana kanamvizia kuwa naye makini asiende ende kwa mangi bila sababu....huku mpakani hali shwari ila tupo kwen alert tu.....