Asante Mkuu! Hizi anga hua nakuja sn ndugu!
Lakini wewe unalala na hela..hahahaaaaa.....asante sana mkuu. Pamoko. Mia
Asante sana mkuu wa kaya Arushaone ubarikiwe sana msalimie the one and only a.k.a the beloved one ukipenda muite miss chitchat wa mda wote Lady doctor mwambie aluta continua.
Asante mkuu. Nmependa hivyo vinanda. Mia
Asante mkuuu. Kumbe miss neddy wanafahamiana na Excel!. copy. Mia
Yeleuuuuuwiiiiiii.....!!! tulia utaijua tu taratibu. Mia
Happy belated birthday you twins.
Vin Diesel, una wake wangapi waliosajiliwa na serikali ya kenya?
Karibu sana. Mia