Happy Birhtday figganigga & Bily

Happy Birhtday figganigga & Bily

figganigganakuzimia@yahoo.com
iStock_000007613806Small-300x199.jpg

Endelea na masomo and God bless u.


Asante sana mkuu. Vallentine yupo wapi? nshangaa sijamuona Kipaji Halisi, Mzee wala Jawilat. kuna amu na Mamndenyi na mshika dau Mayasa, zion Zion Daughter KakaKiiza. vijana wengi wamepotea aisee mia
 
Last edited by a moderator:
sasa mkuu kwanini mambo haya usiyaandike kule pm kwani hapa kila mtu anachungulia
washajua nimetoa cd sasa oky usijali cd imeshakamilika kazi ni kwako
Hawa hawa ndo wanunuzi lol. Usijali..furaha imenizidi baada ya kukuona ndo maana nikaandika hapa. Baadae ntakupigia. Namba yako ninayo. mia
 
Asante mkuuu. Hivi kwanini hujantumia ile picha? wafanya vibaya hivyo. Najua upo busy but jitahidi kuifuatilia. Naona dogo kaka Mwanza. Mbaya wewe!...hahahaaaaaa.....mia

hahahha nshamaliza muuuuda, picha yako ntaishugulikia kaka , ndo maana nakwambia tutafutane mkuu
 
usijali mkuu si unajua tena bestito

line ilipotea hivyo nikarenew line ingine hivyo majina ya watu sinayo itakuwa vyema kama utanipigia kuanzia saa 12 jioni kwani niko busy sana sasa

Hawa hawa ndo wanunuzi lol. Usijali..furaha imenizidi baada ya kukuona ndo maana nikaandika hapa. Baadae ntakupigia. Namba yako ninayo. mia
 
umerudi lini tena bestito hatuambiani vibaya hivyo?
kesho uwepo wako wahitajika ni birthday yangu mkuu

halafu mwambie figganigga kuwa awepo yeye ndo
atakuwa mc wa function hiyo
Husninyo nilimuona akiwa anajiandaa na safari ya kwenda Nairobi kwa likizo fupi, Dena Amsi nimekutana naye juzi lakini hatukuongea sana maana alikuwa na haraka sana 🙂🙂
 
Last edited by a moderator:
usijali mkuu si unajua tena bestito

line ilipotea hivyo nikarenew line ingine hivyo majina ya watu sinayo itakuwa vyema kama utanipigia kuanzia saa 12 jioni kwani niko busy sana sasa
Usijali dada yangu. mia
 
umerudi lini tena bestito hatuambiani vibaya hivyo?
kesho uwepo wako wahitajika ni birthday yangu mkuu

halafu mwambie figganigga kuwa awepo yeye ndo
atakuwa mc wa function hiyo
Ntajitahidi kuwepo but kuanzia saa moja hadi majogooo. chana ntakua nje ya mji kidogo but nikirudi hata ukitaka tukeshe poa tu. Ntakuja na Heaven on Earth. Nataka nianze kumutambulisha kwa ndugu wa damu kama wewe lol. BAK anajifanya eti anajua kuficha siri..hahahahaaa....!!. mia.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom