bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,816
Last edited by a moderator:
Happy birthday to you figganigga and billy.
hahaha sio hivyo eli nilimuadd kobun kama rafiki kwenye list yangu nashangaa imebadilika now inasomeka kama figganigga
Yani wewe??????? Acha izo bana
serious
Asante sana mkuu Mtoto halali na hela tupo pamoja.
Mzee wa Mia kitambo sana Sijakuona humu ndani,Happy birthday kwenu
Happy birthday nyie jamaa (figganigga & Billy) , let God bless u all!
mkuu mambo yanaendaje? mbona ulinitosa? inamaana Pm zangu huzioni au ka ushanitema nambie nijue sina changu lol..hahahaaaa...mia
Mkuu ndo umefikisha miaka 100?? Naona hii avatar yako
teeeh..afu mtoto mchokozi huyu!!!
mkuu mambo yanaendaje? mbona ulinitosa? inamaana Pm zangu huzioni au ka ushanitema nambie nijue sina changu lol..hahahaaaa...mia
am glad siku imekua nzuri mia man
..halafu hiyo ishu ni ipi?..nikumbushe
hahaha sio hivyo eli nilimuadd kobun kama rafiki kwenye list yangu nashangaa imebadilika now inasomeka kama figganigga
ndo natoka kula husband..................... home kuko salama u have got nothing to worry