figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,197
- 64,639
Dada yangu mimi nipo. Nimefurahi kuona sahihi yako hapa. Thanks. MiaMimi mzima kabisa,ni wewe tu mia man ndo ulipotea sana,sijui ulikuwa wapi??
Dada yangu mimi nipo. Nimefurahi kuona sahihi yako hapa. Thanks. MiaMimi mzima kabisa,ni wewe tu mia man ndo ulipotea sana,sijui ulikuwa wapi??
Ndo maana Heaven on Earth hakutaki. mkuu si unaona wataka kumua kwa huo utitiri wa wanawake? mia
He! kwa afya? umeambiwa Heaven on Earth uwanja wa mazoezi? muache mke wangu. Miasimuui....naongeza uzoefu tu kwa afya
Happy birthday figganigga and bily,Mungu awalinde na awape wingi wa siku za kuishi zenye fanaka tele
Kama week hivi imepita 🙂🙂🙂...hata mizigo sijamaliza kufungua, nilisubiri nimalize kuifungua ndio nikutafute 🙂🙂🙂
Nani anaumwa tena
Asante sana mkuu. miaMkuu wengine tumekuwa watoro kidogo hapa...pamoja sana na heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako
Asante sana dada yangu. miaHappy birthday figganigga