Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Nichukue fursa hii kumtakia heri kwenye siku yake ya kuzaliwa mzee wa mia figganigga pamoja na bily. Ashukuriwe Mungu kwa neema yake na wabarikiwe mama waliekuleteni duniani na kukukuzeni kwa malezi bora mpaka hapo.
mwenyezi Mungu awalinde na kuwapa afya njema HAPPY BIRTHDAY.
mwenyezi Mungu awalinde na kuwapa afya njema HAPPY BIRTHDAY.