Happy's birthday To Me🎊

Happy's birthday To Me🎊

Tang ubav

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,749
Reaction score
3,967
Leo Tarehe 20 mwezi wa 08 kama Leo Mimi Muyabi colors ndo nimezaliwa Najitakia siku. Njema ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa ndugu zangu,

Pia ruksa kusema umezaliwa mwezi na tarehe kama hii HERI YA KUZALIWA Muyabi colors Najitakia heli,baraka neema na Reema, MWENYEZI MUNGU Anipe Afya abariki na chochote kile nikifanyacho🎊🎊🎊
 
We jamaa fala sana.


Mwanaume yeyote anaye-pay attention kwenye birthday yake huwa namuweka hilo group.
 
We jamaa fala sana.


Mwanaume yeyote anaye-pay attention kwenye birthday yake huwa namuweka hilo group.
🤣🤣 hatujuani mkuu, pia hakuna anaejua huku nje tofauti harafu pia humu hunijui Mzee, watapinga
 
Hongera sana, ungefanya la maana sana kama kila memba humu ungemnunulia kapepsi ili washerehekee siku yako ya kuzaliwa.​
 
Back
Top Bottom