figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,197
- 64,639
Last edited by a moderator:
Happy birthday to you figganigga and billy.
Happy birthday figganigga
mkuu figganigga happy bday, itabidi tutafutane nikupe zawadi zako za bday, hahahaa...... Mia
hauna functio leo nije?
jmosi cheki pande hizi utaona kitu kipyaaaa kama chako leo
pindi ukimpa huyu hapata:A S cry::A S cry:
Happy birthday kwenu wakuu
Heaven wataka kuniua kwa presha
teeeh, Haya bwana, salam kwa Excel..
happy birthday miaka mingapi tujue
Asante Heaven on Earth kwa kutukumbuka katika siku hii muhimu kwetu mi na mkuu figganigga kwa niaba yake nasema asante sana na Mungu azidi kutubariki na tuishi miaka mingi hapa duniani amen.
Hahahahaaaaaaa.......mwana mpotevu. Kweli leo ni siku kuu. Hadi wewe umeibuka?. karibu sana Vin. Heaven on Earth anajua wapi apendwa so take it easy. Yaani mi kutoka kidogo nasikia ukaanza mpigia pigia simu. Waheshimu shemeji zako. MiaHeri ya siku ya kuzaliwa figganigga...Mungu akujalie maisha marefu yenye mafanikio tele.
Japo nitataka kujua how comes mke wangu Heaven on Earth amejua bday yako....MIA
Boss nambie. Kitabu kinaendaje? jana leo nmekutafuta hupatikani. Hujambo lakini?. Heaven on Earth abarikiwe sana. Mia
Hongereni sana wakuu figganigga & billy. Nawatakia kheri na mafanikio zaidi kiafya na kimaisha. Cheers!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
figganigga party wapi?
Mkuu FN heri tu naona leo kama kawa ndani ya pampers yako:bathbaby: