Hapa shida inaweza kuwa nini?

Hapa shida inaweza kuwa nini?

Unajiambia huyu mwanaume alikuwa anaonekana mkorofi kwa sababu hajakutana na mimi 😁😁😁
Teena unajua kbs alikuwa mpigaji na alikuwa anamnyanyasa mkewe. Ss wewe ndiyo umeingia kujidai smart huku unamtetea kwa mashoga zako wala hana tabu nakwambia. Siku yakikukuta unaulizwa unasema kawaida yake yule hata mke wake wa kwanza aliomdoka kwa kipigo tuu. Hukujua kwani km hizo ndiyo tabia zake jamani.
 
Pia kuna yule anatembea na mume wa mtu, anamkoroga baba wa watu anaacha mkewe kisha anaolewa yeye halafu anategemea huyo bwana awe mwaminifu kwake tu...mtu kama huyo unaweza kumweka kwenye kundi la wenye akili timamu?
 
Umtoe mwenzako Mungu anakuangalia tuu. Teena wengine wanawajibu shombo eti siunajua uliponitoa lakini huwezi kuwa nami peke yako teh teh teh.
 
Hapo kwanza mwanaume ndio inaonekana ana tatizo.. haiwezekani hao wote wawe na tatizo, kama wote hao ushaona tatizo basi asingeoa tena.

Isijekuwa mchizi ana gubu 🤣
 
Katika pitpita zangu mitandaoni, nimekutana na hii habari ya Mark wa Mark Angel Comedy (kama humjui potezea point yangu sio hiyo).

Wanaijeria hasa wanawake wanamnanga kwelikweli hata mimi nimeona ni kweli kuna jambo haliko sawa, ndani ya miaka 8 ameoa mara nne?? Swali kwa wanawake unaweza kuolewa na mtu aliyetaliki mara tatu?
View attachment 3600788
Hata mara mbili tu inaleta ukakasi, mwaka kesho pia mwishoni atakuwa anaoa mke wa 5 tuombe uzima
 
Hapo kwanza mwanaume ndio inaonekana ana tatizo.. haiwezekani hao wote wawe na tatizo, kama wote hao ushaona tatizo basi asingeoa tena.

Isijekuwa mchizi ana gubu 🤣
Huyu mchizi wenu naona yupo kwenye harakati za kutafuta malaika
 
hongera nasubiri utupe story kule utumishi! nani alikwambia dar kuna usiku? kwanza hakuna giza! 😅
Kuna dogo alikuja kijijini kwetu kwenye msiba na babu yake, Ndo tukaanza kumuuliza mambo ya daslamu, Ndo akasema hvy 😎

Naskia saa 24 jua lipo ndo mana kuna joto sana 🔥
Aisee kabla sijaleft earth itabidi nije nijionee
 
Hahaaaaa na huku hatuvai nguo kijana, when u go to rome...
 
Eh kumbe n mwendo wa kuona vikojoleo na vijambio vya wenzenu tuu, ah hy n tabia mbaya, mm siji tena huko daslamu bora niendelee kukimbizana na ngedere tuu huku kijijini kwetu
 
Back
Top Bottom