Hapa shida inaweza kuwa nini?

Hapa shida inaweza kuwa nini?

Bitches dying for fame hakuna lolote hapo! Mke wa nne mwenyewe kakaa kama mganga!
Nizumgumzie huyo mwanaume! Tatizo lake ni kuwa anaoa wakati hajafikia wakati wa kuoa. Bado yupo katika phase ya onja onja (na ndoana yake ni kusema nitakuoa). Kila siku nasisitiza hapa JF kuwa oa au olewa kama wakati wako upo tayari. Mwanaume unapooa (kama umefikia wakati wenyewe) akili yako inafocus maisha ya baadaye, kujenga familia etc. Ndiyo maana huwa natofautisha ndoa na Ngono maana kama ni kula utakula kwa mama ntilie lakini chakula cha mkeo utajitahidi kukiona ndicho bora.
 
Back
Top Bottom