Hapa shida inaweza kuwa nini?

Hapa shida inaweza kuwa nini?

Katika pitpita zangu mitandaoni, nimekutana na hii habari ya Mark wa Mark Angel Comedy (kama humjui potezea point yangu sio hiyo).

Wanaijeria hasa wanawake wanamnanga kwelikweli hata mimi nimeona ni kweli kuna jambo haliko sawa, ndani ya miaka 8 ameoa mara nne?? Swali kwa wanawake unaweza kuolewa na mtu aliyetaliki mara tatu?
View attachment 3600788
Kwani Manara ameoa wanawake wangapi hadi sasa?

Kama pesa ipo unaoa hadi 10 au 700 kama yule nabii wa wakristo
 
Katika pitpita zangu mitandaoni, nimekutana na hii habari ya Mark wa Mark Angel Comedy (kama humjui potezea point yangu sio hiyo).

Wanaijeria hasa wanawake wanamnanga kwelikweli hata mimi nimeona ni kweli kuna jambo haliko sawa, ndani ya miaka 8 ameoa mara nne?? Swali kwa wanawake unaweza kuolewa na mtu aliyetaliki mara tatu?
View attachment 3600788
Hamna shida
 
Back
Top Bottom