Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 12,999
- 25,927
Sijakuuliza mkuu
Sawa.
Sijakuuliza mkuu
Mwanaume akiacha sio issue ila mwanamke akiachika ni tatizo? Kwa nini?Mwanaume kuoa na kuacha sio issue kubwa sana,
Issue ni kwa Mwanamke anayeolewa na kuachika kila anapo olewa,
Hivi yule mtangazaji marehemu aliachika mara ngapi?
Hee hivi unadhani ni mdogo huyo? Inawezekana yupo 40+ maana ameanza mimi nimeanza kumuona kwenye comedy miaka ya 2013 kama sikoseiNizumgumzie huyo mwanaume! Tatizo lake ni kuwa anaoa wakati hajafikia wakati wa kuoa. Bado yupo katika phase ya onja onja (na ndoana yake ni kusema nitakuoa). Kila siku nasisitiza hapa JF kuwa oa au olewa kama wakati wako upo tayari. Mwanaume unapooa (kama umefikia wakati wenyewe) akili yako inafocus maisha ya baadaye, kujenga familia etc. Ndiyo maana huwa natofautisha ndoa na Ngono maana kama ni kula utakula kwa mama ntilie lakini chakula cha mkeo utajitahidi kukiona ndicho bora.
Unajiona km yule hakuwa saahihi wewe ndiyo mwenyewe.Wanawake hizo huwa sio shida zetu. Mwanaume anaweza kuua mkewe kwa kipigo, akienda jela akatoka anarudi uraiani anaoa kwa raha zake
Tena ningewapopoa mpaka basi! 😁Angeongea hili mwanaume mngesema dharau😂😂
Tatizo ni kuoanisha umri wa mtu na utayari wa kuingia katika ndoa. Unaweza kuwa na miaka 50 lakini una Tabia za kivulana na ukawa haupo tayari kufunga ndoa na kuishi na binti wa mtu.Hee hivi unadhani ni mdogo huyo? Inawezekana yupo 40+ maana ameanza mimi nimeanza kumuona kwenye comedy miaka ya 2013 kama sikosei
Gudubai😂😂🙌🏾Tena ningewapopoa mpaka basi! 😁
Wengine wapo kwenye phase ya malipizi mkuu, mtu anatamani wanawake fulani, wanamkataa, kila akijipima hafit, ndio kama kina wozu kuja kuambata na kina wema..basi akijipata anatamani aonje kila mmoja hana muda wa kuvumilia mtu kwa sababu anatakwa na kila aina ya sampuli.. ulimbukeni nao,saingine maagano siunajua hawa wachekeshaji nao si haba🌬️Nizumgumzie huyo mwanaume! Tatizo lake ni kuwa anaoa wakati hajafikia wakati wa kuoa. Bado yupo katika phase ya onja onja (na ndoana yake ni kusema nitakuoa). Kila siku nasisitiza hapa JF kuwa oa au olewa kama wakati wako upo tayari. Mwanaume unapooa (kama umefikia wakati wenyewe) akili yako inafocus maisha ya baadaye, kujenga familia etc. Ndiyo maana huwa natofautisha ndoa na Ngono maana kama ni kula utakula kwa mama ntilie lakini chakula cha mkeo utajitahidi kukiona ndicho bora.
shangaa na wewe!Unaolewa na mtu kaacha wake watatu hujiulizi.?
Nalo nenoWengine wapo kwenye phase ya malipizi mkuu, mtu anatamani wanawake fulani, wanamkataa, kila akijipima hafit, ndio kama kina wozu kuja kuambata na kina wema..basi akijipata anatamani aonje kila mmoja hana muda wa kuvumilia mtu kwa sababu anatakwa na kila aina ya sampuli.. ulimbukeni nao,saingine maagano siunajua hawa wachekeshaji nao si haba🌬️
Consistency ya jamaa kwenye species anazotaka ni topnotch.Katika pitpita zangu mitandaoni, nimekutana na hii habari ya Mark wa Mark Angel Comedy (kama humjui potezea point yangu sio hiyo).
Wanaijeria hasa wanawake wanamnanga kwelikweli hata mimi nimeona ni kweli kuna jambo haliko sawa, ndani ya miaka 8 ameoa mara nne?? Swali kwa wanawake unaweza kuolewa na mtu aliyetaliki mara tatu?
View attachment 3600788
Mbona karemboBitches dying for fame hakuna lolote hapo! Mke wa nne mwenyewe kakaa kama mganga!
Hivi wale akina Emmanuela walisema ni watoto wa ndugu zake eeh? Kama sio hivyo ipo siku atawaoa piaWengine wapo kwenye phase ya malipizi mkuu, mtu anatamani wanawake fulani, wanamkataa, kila akijipima hafit, ndio kama kina wozu kuja kuambata na kina wema..basi akijipata anatamani aonje kila mmoja hana muda wa kuvumilia mtu kwa sababu anatakwa na kila aina ya sampuli.. ulimbukeni nao,saingine maagano siunajua hawa wachekeshaji nao si haba🌬️