Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,005
- 125,750
Kesho usiku naja hapo na shabiby 😎Njoo, niletee na ngedere mmoja nimpike soup! 😁
Kesho usiku naja hapo na shabiby 😎Njoo, niletee na ngedere mmoja nimpike soup! 😁
chukua ungo trans uwahi!Kesho usiku naja hapo na shabiby 😎
Aumbe wa kwake.Huyu mchizi wenu naona yupo kwenye harakati za kutafuta malaika
Awe kama mimi tu padreJamaa anajisambazia upendo tu. Hataki shida na kuishi bila mke hawezi🙆♂️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Awe kama mimi tu padre
Kwani uongo?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Padri kama padri.
Nilikumiss, ulipotelea wapi?
Huo ni uongoooo!Kwani uongo?
Nimekumisi pia sana nipo nakula monde apa na wadau
Uongo kwa nini na nipo parokiani.Huo ni uongoooo!
Monde ni nini?
Parokia ya shime ugweno
Kama ni kwa wapare sawa, maana hakuna wanaloshindwa🤣Parokia ya shime ugweno
Acha tule monde dipresheni zikate
Ngoja wenye upare wao waone.Kama ni kwa wapare sawa, maana hakuna wanaloshindwa🤣
Unazoahirisha tu, pombe ikikata unakutana nazo zikikusubiri.
Mbili ni za kuchambia koo tu, angalau 8 hivi.Ngoja wenye upare wao waone.
Kula monde wewe agiza mbili apo
8 si utatambaaMbili ni za kuchambia koo tu, angalau 8 hivi.
Aaah wapi! Chache sana hizo.8 si utatambaa
We jichanganyeAaah wapi! Chache sana hizo.
Kreti nafuta🤣🤣We jichanganye
JidanganyeKreti nafuta🤣🤣