Hamu Kali ya Ngono Kazini: Nifanyeje?

Mkuu ni kwamba kazi zinapigwa ila any chance I get, nikiona mdada anapitia mbele yangu mara unasoma automatically, ni kwamba tu kuna watu, huenda tungelikuwa wawili naye tu ningembaka kabisa. Ninahamu zilizopitiliza.
 
So unafikiri hisia zinakuwa caused and controlled by busyness!? Mkuu labda kama haujafikia kukomaa
 
Porn nimepunguza siku hizi, maana nazo zinachochea sana
Kwa usalama zaidi unatakiwa uache sio kupunguza mkuu... hata mimi nina experience yani ukiona tu mwanamke au mkigusana akili inawaza ngono tu
 
Gentleman,
wacha nikuongezee ushauri kidogo tu kuhusu faida za kuvuta kitu ndani wakati wa huu ambapo una afya njema na inayokupa mchecheto wa mshedede, ashiki na hamu ya kunyandua kila mara,

yaani,
ukivuta sasa hivi uataenjoy sana kutimiza hamu na tamaa zako za kimwili kwa uhakika sana,
na,
at the time hamu na tamaa za kimwili zikiisha, utajikuta sasa huna sababu hata moja ya kuvuka boda kwa mwanamke mwingine mchepuko, na moyo wako utakuambia kabisa unatafuta nini tena kingine zaidi ya hiki?
na hatimae utajikuta unafyatua watoto tu huku ndoa ikiwa ya furaha na yakupendeza
 
So unafikiri hisia zinakuwa caused and controlled by busyness!? Mkuu labda kama haujafikia kukomaa
Mimi na miaka 38's unahisi sijakomaa HIYO KITU HAIPATI KUTU SIO UFUNGUO

Wewe jifanye player zaidi ya RONALDO DE LIMA WA BRAZIL NOMA SANAAAAAA
 
Hakika mkuu, nayatsmani sana maisha hayo mkuu Wacha nijipe quest ya kutafuta mwandani wangu kwa wivu mkubwa mno. Nwakati ndo huu ndugu mdau
 
Una matatizo kwa mwezi natongozwa na wadada angalau watano ila mim suna muda na mbususu
 
pKULA TANGO LA KICHEMSHA KILA UNAPOTAKA KULALA USIWEKE CHUMVI.

SHIDA YENU WATZ HAMTAKI MAZOEZI TUMIA HATA HIYO TRICK JUU
 
Waajiri wanaotaka miaka 35+ na uzoefu wa miaka 10, huwa wapo sahihi, wanataka umri flani wa mtu wenge linakuwa limemuisha.
Kwa umri huo wenge linakata sana , sio mshmba wa vipochi manyoya
 
30 hapo ndio vibe la kutamani kuzichpa lipo kwenye kilele chake , utakapoanza kuona vijana wa umri wako wamekuzidi maisha hilo vibe linakata unabaki kuichaka kwa mudi tu
Sawa mkuu, nahisi niko kwenye prime Wacha nikazane kuzuchapa kwa wivu mkubwa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…