Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Zitto ni mwanasiasa mzuri lakini pia anahitaji kukomaa. pengine sifa alizozipata akiwa mdogo zinamlewesha na kumzuia kukomaa. Ipo mfano ya matatizo ya watu walioruka rika katika ukuaji wao. Kuna kauli anazitamka zina ukakasi kweli. Amekuwa akikazana kutoa mfano wa Waziri Mkuu wa Malaysia na kujitanabaisha naye akitaka kuaminisha watu kuwa ni yeye tu anayeweza kuleta mabadiliko siyo tu katika chama chake bali hata kwa nchi. Leo nasikia anawaambia watu wake wa Kigoma kuwa iko siku atawaongoza na kuwatumikia watanzania katika nafasi kubwa! Anapaswa kujifunza na kunena kwa kadri. Akumbuke sifa zinapita na zinaweza peperuka kwa upepo.

word...
 
Ni wale tu bendera fuata upepo, wasiojitambua ndio ataondoka nao...kwa mtu mwenye upeo wa mbali hawezi kufuata siasa za usaliti za Zitto Kabwe


Hata wanaoshabikia Zitto kufukuzwa wapo bendera fuata upepo.
 
Last edited by a moderator:
Walikukosa kosa na sumu sasa wameamua kukutimua..

Zitto waachie chama chao.
 
Last edited by a moderator:
Zitto alivyochukulia swala lake litamgharimu umaarufu wake.Sasa hivi anajitengenezea scene za kuwaaminisha raia kuwa bado anakubalika,kiuhalisia amechuja sana,hasa pale aliposhindwa kubaini nini hasa alichopaswa kufanya "Kuomba msamaha". Tofauti na hapo ni mfamaji tu,atasahaulika.
 
Zito ataondoka na wafuasi na sio wanachama ,chama kinajengwa na wanachama. Tumtakie kila kheri yeye na wafuasi wake. Safari njema!!

Tatizo la Chadema mna wafuasi sio wanachama. Anayebisha alete hesabu ya wanachama wa Chadema kitaifa. Na wapiga debe hawajengi chama kinajengwa na wanachama.
 
Hata wanaoshabikia Zitto kufukuzwa wapo bendera fuata upepo.

Wengi wanaoumia Zitto kufukuzwa Chadema ni wanachama hai wa CCM,
Kuna nini nyuma ya pazia?:sly:
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni kauli ya Zitto ambapo gazeti limeripoti akisema watamkoma na huku Hamad Rashid akisema ataondoka na wengi.

Kichwa cha habari katika gazeti kinasomeka:
"Zitto:Watanikoma"

CHANZO:Jamboleo

My take;
Kama kweli hayo ndio matamshi ya Zitto,basi huyu dogo ni very arrogant na hapaswi kuhurumiwa hata kidogo.

Labda iwe kuondoka na wengi kwa ''ngoma''
 
Yeye mwenyewe Rashid Hamad, aliondoka na wangapi CUF?

Hapo sasa katika kosa ambalo Hamad Rashid analijutia ni Hilo la kujidanganya kuwa ataondoka na wanachama wengi CUF
 
Ni ujinga na mjinga tu ataondoka nae. Yeye Hamad aliondoka na wengi? Wote wajinga tu. Hatumfuati mtu bali taasisi. Mimi siondoki nae
 
Mfa Maji Haachi Kutapatapa, Is too late, Mbona alifukuzwa Siku Nyingi na hakuna Impact yoyote ambayo CHADEMA imefeel. Kashachelewa Labda atawapata watu wa Jimboni mwake; Watanzania Kwa Sasa Tunaongelea Kuwapa DOLA UKAWA na sio CHADEMA.

Kufutiwa/Kufukuzwa Uanachama ni Jambo ambalo si geni kwa Siasa za Tanzania, Tumewaona wanasiasa wengi tu katika hili. Sidhani Zitto yeye anaweza Kutushangaza sana WaTZ Kiasi cha Kutubadili Mwelekeo Tulionao.

Yeye aende aendako hata CCM walikokuwa Wanapeleka Taarifa lakini Mwisho wa Siku UKAWA Ndio habari ya Mjini.

Lipumba nq Cuf yake Wanasubiri Mmpe babu nafas ya Ugombea wa Ukawa muone kama na yeye atabaki.Mtabqki na Arusha na Manyara muunda empire yenu
 
Kama Angekuwa na impact kubwa katika uhai wa Chadema tungeona kwenye serikali za mitaa lakini chakushangaza ndo Chadema imepata viti vingi kuliko wakati akiwepo, kwa hio akwende zake kunguni mkubwa!
 
Huyu jamaa sijui kwa nn anachelewa kufanya maamuzi, mwenye taarifa zake atujuze plz.

Maamuzi gani tena kamanda unayoyasubiri ?

Huo muda wa kufanya maamuzi ulishapita na alishaupoteza. Na hata akijitutumua vipi ndo keshapotezwa hivyo.

Chama makini kilishamaliza kila kitu, ye alie tu.
 
Ninachokiona hapa ni kwamba CDM wanaomba Zitto asijiunge na CUF!
Wana hofia kupoteza nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani
 
Chadema kwa sasa imeenea kote kote hadi kijijini kwangu. Kijiji chetu kinaongozwa na chadema. Hakuna maendeleo. Hakuna barabara waliowaona wajinga, ccm wamekiona cha moto mwaka jana. Hatutoki kisa zzk kajiondoa
 
Zito kesha chelewa ataondoka na watu wa Mwandiga tu, ambao walimchagua kama mbunge wao. Lakini kwingine ameshachelewa.
 
Back
Top Bottom