DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,931
- 2,141
Zito ataondoka na wafuasi na sio wanachama ,chama kinajengwa na wanachama. Tumtakie kila kheri yeye na wafuasi wake. Safari njema!!
Unakadi ya uanachama ndugu?
Zito ataondoka na wafuasi na sio wanachama ,chama kinajengwa na wanachama. Tumtakie kila kheri yeye na wafuasi wake. Safari njema!!
nyie wasomi huwa nawashangaaga sana
hujathibitisha habari umeanza analysis!!
source ni jambo leo..ambao watafanya lolote lile kukuza uadui
hivi mtu akisema IQ yako iko chini unawezaje kumbishia?
..... Tukundane, Vipi Wewe Humuungi Mkono Homeboy Wako.?
Zitto akiingia CUF that will be his end... his only perfect party is ACT.
Hivi huyu jamaa anafikiri kuwa watu wote wanamuwaza yeye, naona ana mtindio wa ubongo
Let him leave,it is better to remain with few people who are loyal,than many people who are are untrustable.
Kumbe ndiyo hivyo mimi nilikuwa sijui kumbe katiba hii ya Mtei na wakwe zake siyo ya kuipuuza hata kidogo.Kama ulikuwa haujui ndio Chadema yenyewe ulipaswa uisome kabla