Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Mtaji wa siasa sio kama wa biashara(fedha)bali ni watu(wanachama na wasio wanachama wa chama chako).
Hivyo akatafute mtaji wake mwenyewe ili awe maarufu kuliko chama.
Mkuu wa nchi akimhurumia sana atampa kuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni badala ya Makonda.
 
Kabla ya kuijua chadema niliimjua zito akanishawishi nikawa shabiki wake na chadema pia na nyuma yangu kuna vijana zaidi ya mia wananiamini kwa chochote ntakachpsema
 
He will be supported with a lot of money to spoil Chadema, We knows, kusimama kinyume ni lazima uwe na uadui na yule mpinzani au adui yako. CCM kwake ni bora kuliko Chadema, Siasa ndiyo maana yake, lazima upashwe..Hata Mbowe alileta usaliti haachwi
 
Jambo leo haliaminiki.

Sidhani kama Zitto anaweza kutoa reckless statement kiasi hicho.

Labda awe amelishwa maneno.Mwanasiasa makini hawezi kujitolea kauli hiyo katika kipindi hiki

Ben Saanane wewe umenena kweli, Zito ni mwanasiasa makini, kumbe hata chema wapo wasema Kweli
 
Back
Top Bottom