Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Jambo leo haliaminiki.

Sidhani kama Zitto anaweza kutoa reckless statement kiasi hicho.

Labda awe amelishwa maneno.Mwanasiasa makini hawezi kujitolea kauli hiyo katika kipindi hiki

Kaka sasa nafikiri naanza kukuelewa vizuri saana. Naanza kuona misimamo yako kisiasa jinsi ilivyo. Hongera kwa mlengo huo wa siasa uliouchagua.

Ila nadhan maisha yako yatakuwa magumu saana ndan ya chadema. Na ndo maana unapata misukosuko ya hapa na pale.

Binafsi sijawah ona kada au kijana yoyote wa chadema kuwa independent kifikra kama wewe. Nishazoea kuona watu wa "NDIO MZEE" wakijiita ni makada wanyenyekevu nakujiona ni bora kuliko wale wa upande wa pili. Na labda hili ndo lililonifanya kurud nyuma hatua moja na kuwaza kama kweli CHADEMA ni mkomboz wa nchi au ndo walewale.

Binafsi nadhan kama chama kikiruhusu kuwa na watu kumi akama nyie katika nafas za juu kitakuwa bora zaid ya kilivyosasa. Ila kwa hii misimamo yko binafsi unayoonesha huku ukipeperusha bendera ya chama sitoshangaa wakianza kukuita msaliti.

Hongera saana Ben Saanane shughuri ya ukomboz, na kujijenga kisiasa ni nzito mno natumai kwakua ushadumbukia katika ngoma iyo ya siasa utapambana na changamoto zozote utakazo kumbana nazo.

Mafanikio mema katika hili gemu kaka
 
Last edited by a moderator:
Mwanasiasa makini katika kipindi hiki angehitaji utulivu fikra!! Pia kuhama chama fasta fasta hakuta mpa credit yeyote,atashangiliwa siku mbili tatu then kutakua kimyaa. Unaweza tumia miaka mingi kujenga jina na reputation ukaiharibu kwa sekunde kadhaa.
 
kama gazeti lisipoandika hivyo litauza vipi???chadema sio chama mnatuletea rais ambaye hana mke ataanza kutembea na wake wa mawaziri akiwa raisi.........!
 
Zito ataondoka na wafuasi na sio wanachama ,chama kinajengwa na wanachama. Tumtakie kila kheri yeye na wafuasi wake. Safari njema!!
 
Unadhani kuwa na akili za usaliti ni jambo la kawaida?lazima litakufanya uwe na akili kuliko viongozi wote kwa kuwa una akili za nyongeza kutoka kwa shetani.

..... Tukundane, Vipi Wewe Humuungi Mkono Homeboy Wako.?
 
Zitto haaminiki na si mtu wa kauli ya kuisimamia. Hachelewi kuikana hata kauli hiyo. Hatahivyo magazeti nayo hupotosha kwa sababu zao za kisiasa

nyie wasomi huwa nawashangaaga sana

hujathibitisha habari umeanza analysis!!

source ni jambo leo..ambao watafanya lolote lile kukuza uadui

hivi mtu akisema IQ yako iko chini unawezaje kumbishia?
 
.... Yuko Sahihi Kusema Hivyo Kwasababu Siyo Wote Wanaomchukia Ndani Ya Chama

uko sahihi. ...lkn bahati mbaya wafuasi wengi wa babu wanaamini kila anayemuunga mkono zitto ni ccm kumbe ni fikra za kijuha kabisa.
 
.... Yuko Sahihi Kusema Hivyo Kwasababu Siyo Wote Wanaomchukia Ndani Ya Chama

safi sana,lakini tufike mahali tuache chuki binafsi na tukomae au tuwe na ngozi ngumu kama Samweli Sitta alivyoshauri
 
kama gazeti lisipoandika hivyo litauza vipi???chadema sio chama mnatuletea rais ambaye hana mke ataanza kutembea na wake wa mawaziri akiwa raisi.........!


Kama mke wako hajatulia nasema aliwe tu.. Tumechoka sasa.
 
Uwezo wako tunaujua Mh Zitto. We ni mwanasiasa uliyebobea na msomi. Tumekua tukifuatilia mawazo yako juu ya maendeleo ya nchi yetu, hakika wewe ni hazina kwa taifa hili.
Usihamie CCM, tumechoshwa na chama hicho. Mh Zitto kilicho kuponza CDM ni kutojua kulamba visigino vya wakubwa wako na kutaka kulazimisha demokrasia CDM kitu ambacho hakitakiwi CDM. Mfumo ule ule wa MAGAMBA!!!
Zitto wewe sio malaika, una udhaifu wako ambao unarekebishika kabisa! walio wengi tunaokuunga mkono tuko TIMU YA WASIOJUA KULAMBA VISIGINO VYA WATU. Timu ya wanaojua kulamba na kutawaza wafalme hawako upande wako. Hawa hawana ile kitu inayoitwa ukweli na uwazi. Hawawezi kumkosoa wala kumpinga mfalme hata kama amekosea kias gani.
Huko uendako tuko pamoja na wewe. Ukweli na uwazi ndiyo silaha yetu.
R.I.P Chacha Wangwe, daima utakumbukwa kwa ukweli na uwazi ulio kua nao.

Nawasilisha.

N.B
Ruksa kutukana kwa wale wote TIMU KULAMBA NA KUTAWAZA.
 
uko sahihi. ...lkn bahati mbaya wafuasi wengi wa babu wanaamini kila anayemuunga mkono zitto ni ccm kumbe ni fikra za kijuha kabisa.

.....Siasa Inatakiwa Kuwa Na Ngozi Ngumu Kama Tembo
 
wapenda demokrasia ya kweli tuko pamoja na mh zzk,hebu ondoka haraka huko shimon tupo tayar kukusuport tuambie mapema mh.
 
safi sana,lakini tufike mahali tuache chuki binafsi na tukomae au tuwe na ngozi ngumu kama Samweli Sitta alivyoshauri

..... Kweli Kabisa, Nadhani Bado Kuna Tatizo La Ukomavu Wa Kisiasa.
 
Back
Top Bottom