Hizi kauli zinanikumbusha matamshi ya Kanali Ghadafi alipokua anaporomoshwa na NATO
usemi wake wa Mwisho kabisa alisema waasi wakikaribia Tripoli atailipua na kuifanya majivu
lakini mpaka leo Tripoli ipo!!!!
Uwezo wako tunaujua Mh Zitto. We ni mwanasiasa uliyebobea na msomi. Tumekua tukifuatilia mawazo yako juu ya maendeleo ya nchi yetu, hakika wewe ni hazina kwa taifa hili.
Usihamie CCM, tumechoshwa na chama hicho. Mh Zitto kilicho kuponza CDM ni kutojua kulamba visigino vya wakubwa wako na kutaka kulazimisha demokrasia CDM kitu ambacho hakitakiwi CDM. Mfumo ule ule wa MAGAMBA!!!
Zitto wewe sio malaika, una udhaifu wako ambao unarekebishika kabisa! walio wengi tunaokuunga mkono tuko TIMU YA WASIOJUA KULAMBA VISIGINO VYA WATU. Timu ya wanaojua kulamba na kutawaza wafalme hawako upande wako. Hawa hawana ile kitu inayoitwa ukweli na uwazi. Hawawezi kumkosoa wala kumpinga mfalme hata kama amekosea kias gani.
Huko uendako tuko pamoja na wewe. Ukweli na uwazi ndiyo silaha yetu.
R.I.P Chacha Wangwe, daima utakumbukwa kwa ukweli na uwazi ulio kua nao.
Nawasilisha.
N.B
Ruksa kutukana kwa wale wote TIMU KULAMBA NA KUTAWAZA.

ww n mpumbav unayeweza tetea kilichofanywa nato pengine na ww ulikua na macrah binafsi kama ta yawa US lkn cdhan n upumbav wa kushabikia usichokijua km unavoshabikia saccos za watu
Hiyo ni kauli ya Zitto ambapo gazeti limeripoti akisema watamkoma na huku Hamad Rashid akisema ataondoka na wengi.
Kichwa cha habari katika gazeti kinasomeka:
"Zitto:Watanikoma"
CHANZO:Jamboleo
My take;
Kama kweli hayo ndio matamshi ya Zitto,basi huyu dogo ni very arrogant na hapaswi kuhurumiwa hata kidogo.
Kaka sasa nafikiri naanza kukuelewa vizuri saana. Naanza kuona misimamo yako kisiasa jinsi ilivyo. Hongera kwa mlengo huo wa siasa uliouchagua.
Ila nadhan maisha yako yatakuwa magumu saana ndan ya chadema. Na ndo maana unapata misukosuko ya hapa na pale.
Binafsi sijawah ona kada au kijana yoyote wa chadema kuwa independent kifikra kama wewe. Nishazoea kuona watu wa "NDIO MZEE" wakijiita ni makada wanyenyekevu nakujiona ni bora kuliko wale wa upande wa pili. Na labda hili ndo lililonifanya kurud nyuma hatua moja na kuwaza kama kweli CHADEMA ni mkomboz wa nchi au ndo walewale.
Binafsi nadhan kama chama kikiruhusu kuwa na watu kumi akama nyie katika nafas za juu kitakuwa bora zaid ya kilivyosasa. Ila kwa hii misimamo yko binafsi unayoonesha huku ukipeperusha bendera ya chama sitoshangaa wakianza kukuita msaliti.
Hongera saana Ben Saanane shughuri ya ukomboz, na kujijenga kisiasa ni nzito mno natumai kwakua ushadumbukia katika ngoma iyo ya siasa utapambana na changamoto zozote utakazo kumbana nazo.
Mafanikio mema katika hili gemu kaka
Huyu jamaa sijui kwa nn anachelewa kufanya maamuzi, mwenye taarifa zake atujuze plz.
Duh! "kweli kadili?????? nyani anvyozidi kupanda juu, uchi wake ndio unavyozidi kuonekana" .......................
Hesabu za kisiasa hapa ni kwa CUF kuachana na ukawa
Wamchukue zito kujijenga na uchaguzi wa 2020 zito awe mgombea wa CUF.
Cuf kitaingia ikulu bila ya zengwe
Hiyo ni kauli ya Zitto ambapo gazeti limeripoti akisema watamkoma na huku Hamad Rashid akisema ataondoka na wengi.
Kichwa cha habari katika gazeti kinasomeka:
"Zitto:Watanikoma"
CHANZO:Jamboleo
My take;
Kama kweli hayo ndio matamshi ya Zitto,basi huyu dogo ni very arrogant na hapaswi kuhurumiwa hata kidogo.
Sasa ukimfuata kokote si ndio utakua ume-qualify kuwa mlamba visigino vyake maana huko kumfuata tu anatangulia yeye kisha visigino/nyayo zake ndio unafuata
Unakinzana na msimamo wake kuwa tusiwe wafuasi wa watu bali misingi kwa kuwa misingi hudumu
Hesabu za kisiasa hapa ni kwa CUF kuachana na ukawa
Wamchukue zito kujijenga na uchaguzi wa 2020 zito awe mgombea wa CUF.
Cuf kitaingia ikulu bila ya zengwe