Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Zito kesha chelewa ataondoka na watu wa Mwandiga tu, ambao walimchagua kama mbunge wao. Lakini kwingine ameshachelewa.

Mkondakaiye wala usidhani Zitto anapendwa na watu wengi wa Mwandiga. CHADEMA imekuwa na nguvu kubwa Kigoma kabla hata Zitto hajawa Mbunge au Kiongozi wa CHADEMA. Kuna watu wengi sana walihusika kuijenga CHADEMA kigoma kabla ya Zitto kuwa mbunge.

Kifupi tambua tu, siasa za ajabu ajabu za Zitto akiwa mbunge na kiongozi mwandamizi wa CHADEMA zimehusika sana kuirudisha nyuma CHADEMA Kigoma.
 
Last edited by a moderator:
DSC005731.jpg
Kwenye ilo gazeti kauli ya Zitto mnaikubali lakini ya Papa mnaikataa.

kwi kwi kwi kwi
 
Mtoa mada wewe ni mnafiki na mandiki na unaongozwa na chuki.
 
kweli mtu yoyote tabia yake na fikra zake nzuri zinaonekana wakati wa hali ngumu anayopitia.
ninaanza kuamini hata uraisi hafai kabisa!!!…
nimetegemea hekima nzuri kwa zito nyakati hizi lakini sasa!!!!!!

Hekima kwenye vita .mbowe si ametangaza vita mbowe vita na zitto hawezi mbowe ni mwepesi sana
 
Jambo leo haliaminiki.

Sidhani kama Zitto anaweza kutoa reckless statement kiasi hicho.

Labda awe amelishwa maneno.Mwanasiasa makini hawezi kujitolea kauli hiyo katika kipindi hiki

Kumbe umeanza kuwa na akili tangu uwekewe zengwe la BAWACHA
 
Ni kweli Zitto anao wafuasi ndani ya CHADEMA na hata nje ya CHADEMA. Wafuasi hao amekuwa akiwatengeneza kwa gharama kubwa sana na kwa muda mrefu sana. Hii si ajabu kwa mtu anayependa madaraka.

Hata Mrema alikuwa na wafuasi wengi sana alipokuwa CCM kisha akaenda nao NCCR na mwisho TLP. Kadri muda ulipokuwa unakwenda wakawa wanapungua tu. Leo hii mtu akisema ni mfuasi wa Mrema watu wanaweza kumwona ni kichaa.

Wanasiasa wa namna hii mwisho wa siku wanachokwa nakuchukiwa tena na wafuasi wao na hapo wanatamani kurudi tena CCM ili kupata 'Faraja' ya kuendelea kuishi vizuri kwa kutegemea siasa.
Mrema, Hamad Rashid na hata Zitto usishangae siku moja wakirejea CCM. Kama Masumbuko Lamwai, Tambwe Hiza, Tedy Kaserabantu, Kaborou, Wassira, Danny Makanga, Fatuma Maghimbi, Kessy nk walirejea CCM, vipi ishindikane kwao wakati tayari wameshaonesha nia ya kuitaka CCM?
 
Zitto ana akili za kitoto sana..mitoto ya madrasa ni sheedah
 
Hiyo ni kauli ya Zitto ambapo gazeti limeripoti akisema watamkoma na huku Hamad Rashid akisema ataondoka na wengi.

Kichwa cha habari katika gazeti kinasomeka:
"Zitto:Watanikoma"

CHANZO:Jamboleo

My take;
Kama kweli hayo ndio matamshi ya Zitto,basi huyu dogo ni very arrogant na hapaswi kuhurumiwa hata kidogo.

Fafanua kauli hiyo! Unamaanisha nini, au sasa nayeye mnakusudia kum... R.I.P Wangwe. Kwa kauli hizo usalama wa Zitto upohatarini.
 
Zitto akajenge act! Cdm nawapongeza sana kwa kusimamia katiba na kanuni za chama chenu!
 
Kasheshe,

Pamoja na kushuka kwa heshima yako hapa JF tangu ile mada ya 2008,hapa naona angalao umefikiria mbali.Kudos!
Nashukuru kaka! Ingawa ujue tu sitafuti umaarufu hata siku moja, labda tu hujanijua... I hate siasa za vyama vyenu tena vyote. Ila kama nikipima kipi ni tofauti na vingine ni ACT tu!
 
Ningeshangaa sana sana.Ndio maana nilipinga kuwa haiwezekani aseme hivyo

Ben hebu post tena ile ropoti ya siri ya zitto kabwe...........kipindi kile vijana wengi hawakuwa na access ya smart phones na internet. 2014 Jf imepata memba wengi sana. Itupie tena ili wajue kuwa zzk ameharibu tangu zamani. Na inabidi wajue kuwa wewe ndiye ulikuwa whistle blower........
 
Hamad Rshid ameondoka na wangapi CUF na wako wapi hadi leo?
 
Mfa Maji Haachi Kutapatapa, Is too late, Mbona alifukuzwa Siku Nyingi na hakuna Impact yoyote ambayo CHADEMA imefeel. Kashachelewa Labda atawapata watu wa Jimboni mwake; Watanzania Kwa Sasa Tunaongelea Kuwapa DOLA UKAWA na sio CHADEMA.

Kufutiwa/Kufukuzwa Uanachama ni Jambo ambalo si geni kwa Siasa za Tanzania, Tumewaona wanasiasa wengi tu katika hili. Sidhani Zitto yeye anaweza Kutushangaza sana WaTZ Kiasi cha Kutubadili Mwelekeo Tulionao.

Yeye aende aendako hata CCM walikokuwa Wanapeleka Taarifa lakini Mwisho wa Siku UKAWA Ndio habari ya Mjini.

alifukuzwa muasisi wa cuf sembuse yeye
 
Back
Top Bottom